Msaada kuhusu simu aina One+ 6

NEMEZIZ

JF-Expert Member
May 23, 2017
563
335
IMG_1999.jpg


Habari za muda huu wajuvi. Nawasilisha hii changamoto japo simu imenunuliwa mkononi bila kujua tatizo naomba msaada niweze kulitatua.

Matatizo yake ni muda mwingine inaleta notification ya No Service kwa upande wa line moja, na siwezi kupiga wala kupigiwa hapo juu niliuliza salio na hiyo ndio notification wanayonipa.

Nitashukuru endapo nitapata msaada kwa hili tatizo
 
Back
Top Bottom