lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Wakuu nina Samsung A30 Ina tatizo la Kuvibrate na Kujizima mwenye Uzoefu na Simu Hizi naomba anielekeze, tatizo huenda litakuwa ni nini??
Ahsante Mkuu. Angalau Nimefarijika Nitajaribu Kufanya hivyo.Hii shida nimeona inawatokea baadhi ya watumiaji wa hizi Samsung A-series
Jaribu kufanya haya
- Tafuta memory card au flash au hata laptop uhamishe files zako zote za muhimu kutoka kwenye simu kwenda kwenye hiyo memory card, flash au laptop.
- Baada ya hapo ipige Factory Reset hiyo simu yako, itaondoa cache data zote zinazofanya simu yako ijizimezime, na zile zinazoaffect perfomance ya battery ya simu yako na kila aina ya caches. Simu yako itarudi kama ilivyokuwa mpya, na mafaili yako kama videos, picha, n.k yatafutika. Lakini utakuwa umesolve issue
- Baada ya hapo rudisha mafaili yako ya muhimu kutoka kwenye memory card, flash au laptop kurudi kwenye simu yako.