Watumiaji wa Ali express Nahitaji kufahamu haya

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,173
Reaction score
1,488
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#Mwlrct
Screenshot_2022-12-18-07-05-35-809_com.opera.mini.native.jpg
 
Zipo OG na Feki sana sana utazitambua kwa bei halisi ya bidhaa unayotaka
 
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#MwlrctView attachment 2450321
Waterproof iyo halafu
 
Asilimia ya jbl za aliexpress ni copy ukitaka kununua masoko ya uchina daka kutoka store zao official huko taobao na pia alibaba hapo acha kiongozi
 
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#MwlrctView attachment 2450321
Hakuna sehemu hata moja wameandika hio ni JBL wajanja sana hao seller wa Aliexpress.
 
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#MwlrctView attachment 2450321
Tafuta Alibaba ndio utapata ya bei halisi na OG
 
Seller wa Alibaba na Aliexpress ni wale wale, tena siku hizi Alibaba ndio kuna wajingajinga wengi, naona Aliexpress wanawatoa.
Sasa tunafanyaje wazee ama kampuni yeyote zinafanya online buying tuagizie mzigo ukifika tunalipa
 
Kama walivyokushauri wadau nunua kwenye store husika. Jbl ni kampuni ya Usa nunua marekani, ama kama ni china tafuta store kubwa ambayo ina rating na user wengi wamenunua na feedback nzuri.

Hao sijui wameuza vitu 5 kuwa makini sana.
 
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#MwlrctView attachment 2450321
Tusichokijua:[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kama walivyokushauri wadau nunua kwenye store husika. Jbl ni kampuni ya Usa nunua marekani, ama kama ni china tafuta store kubwa ambayo ina rating na user wengi wamenunua na feedback nzuri.

Hao sijui wameuza vitu 5 kuwa makini sana.
Umesomeka mzee
 
Za asubuhi wadau natumaini mumeamka salama salmini

Nilikuwa na mpango wa kuagiza redio za jbl katika peruzi zangu huko mtandaoni nikakutana na hawa jamaa wa Ali express naona bidhaa wanuza bei rahisi mno je bidhaa hizi ni Og kama walivyoweka picha na comment za watu

Kwa wale mnaotumia Ali express naombeni majibu juu ya Hili

Nataka kuagiza jbl Xtreme 3 ama boom box 2

#Mkwawa
#MwlrctView attachment 2450321
Hiyo ni Boom box 2 , sio JBL tafuta kama jbl wana oficial store kisha angalia orders na reviews, kwa ujumla aliexpress wanaondoa bidhaa feki kama wanatumia jina official. Pia angalia brand ya Anker nakumbuka walikuwa na official store AliX.
 
Seller wa Alibaba na Aliexpress ni wale wale, tena siku hizi Alibaba ndio kuna wajingajinga wengi, naona Aliexpress wanawatoa.
Chief-Mkwawa Mr nilikuwa na mzigo nataka kununua alibaba sasa seller wangu anatuma mzigo kwanjia ya ndege ambayo ni gharama kubwa, nawezaje kutuma huo mzigo kupitia agent ambaye atafikisha huo mzigo mpaka mkoa husika, au una idea or experience yeyote juu ya hili
 
Kama ni mkubwa sana unafika Cubic metre moja unaweza tumia kampuni kama Silent ocean around $400 mpaka $500.

Kama ni KG kadhaa kuna jamaa wanasafirisha kilo around 30,000

Hauna hata kilo moja kama ikizidi saana kilo na robo. Shukrani saana ngoja nimchek jama.. ila hawana ujanja ujanja kweli maana kampuni za kibongo hawako consistent...
 
vyema nenda ofisi zao mkuu, hizo office zinajulikana KKoo, ila aliyetuma Tangazo simjui,
 
Back
Top Bottom