Kama unatumia smartphone yenye Type-C fanya haya

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,750
Reaction score
37,404
Wengi wetu tumekuwa tukinunua simu bila kujua tunaenda kutumia kwa ajili gani.

Yani unakuta mtu ana simu, tablet na laptop vyote ukimuuliza hana jibu.
Sio kosa kuwa navyo ila je unatumia kwa matumizi gani.

Simu za zinazotumia Android zimekuwa na mchango mkubwa kwenye matumizi makubwa ambayo kompyuta ilitakiwa kubeba.

Kama unatumia simu yenye Type-c basi inaweza kuwa kifaa chako chenye matumizi milengi kama kugeuza mbadala wa kompyuta ukatumia screen tu ya kompyuta.

Hii itakusaidia kufanya kazi zako kirahisi
IMG_0784.jpg

IMG_0785.jpg
 
maelezo ndio yameisha au utarudi mkuu?

Chief-Mkwawa njoo ujazie nyama jamaa alitaka kuongelea nini?
Amechanganya Usb type C na usb 3.0 na kuendelea.

Usb type C ni umbo la USB

Usb 3.0 na kuendelea ni technology ambayo ipo ndani ya USB.

Usb 2.0 ambayo ni usb ya zamani hizi zilikuwa zinapitisha data 480mbps

Usb 3.0 zinapitisha 5gbps
Usb 3.1 zinapitisha 10gbps
Usb 4.0 ya kisasa inapitisha hadi 20Gbps na ipo ver 2 yake inapitisha hadi 80gbps.

Simu yenye type C lakini usb 2.0 haiwezi kufanya aliosema mleta mada hapo juu sababu ina uwezo mdogo sana kupitisha data hivyo huwezi kutumia dock. Mfano wa simu hizi ni Tecno na Infinix zote, Xiaomi, Samsung A series, Iphone etc.

Simu zenye Type C na usb 3 ama 3.1 hizi zina uwezo wa kupitisha GB za kutosha hivyo unaweza tumia dock na kuifanya simu kama Computer, mfano ni Samsung Dex, feature hii ipo simu kubwa tu kama Samsung S series, Oneplus, LG flagship etc.

Kuna Exception ya Kampuni chache kama Sony, Oppo na baadhi ya samsung unakuta Usb 3.1 kwenye midrange ambazo hazina bei kubwa sana.
 
Maelezo yametosha mkuu. Asante sana.🙏
 
Angalau nmeambulia kitu hapa
 
Back
Top Bottom