wadau habari,ninaomba msaada kila ninapotaka kupiga simu kwa kupitia mtandao wa voda kuna maandishi yanatokea yameandikwa ACM limit exceeded,naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuondoa tatizo...
Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali
Imeelezwa wadukuaji wanawalenga...
Naomba msaada wa kupewa contact information ya fundi/garage nzuri yenye kifaa (computer) kwa ajili ya kufanya On-Board Diagnostic kwa Subaru Forrester. Taa ya check engine imekuwa inawaka kwa wiki...
Natumai mu wazima, naombeni ushauri.
Lipi jiko bora kati ya haya Home base na Mr UK?
Wazoefu wa haya mambo naombeni msaada ndugu yenu nimekwama, kwakuwa wengi humu ni wajuvi wa hizi mambo...
Wasalaam wadau,
Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka...
Habari wadau,
Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase.
Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo...
Habar wadau !!!
Hope wote mpo poa niende moja kwa moja kwenye mada nadhani wengi kati yenu mnatuia outlook na karibu ofisi nying zinatuia outlook for person and office work
Mi kinachoniudh...
Nahitaji kuagiza Alibaba kamera ya kupiga picha za mnato na video namm sio mzoefu sana ila kwakua najifunza nimeona ni bora niwashilikishe.
Pesa sio tatizo ila nimeingia mtandaoni nikaona Canon...
Wajuvi mimi ni mpenzi wa kutazama movies zenye sabtitle ya kingereza kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload kwenye simu na kisha ionyeshe kwenye TV.
Huwa ninadownload movies kwenye simu kisha...
Simu yangu ninayotumia wiki kama mbili zilizopita mtoto aliiangusha ikawa imeckrack kidogo ila nashukuru haikuwa na effect yoyote, ila nashangaa leo asubuhi nmeamka naona brightness inashake shake...
Kama kichwa cha Habari kilivyo wengine sio ma expert sana jinsi ya kupakua game kali online
Ila mie natafuta wajuz na wapenz wa hili game la "FOOTBALL MANAGER " nataka nijue jins la kulipata free...
Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn
Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
naomba msaada nina lenovo yoga tablet,upande wa keyboard haifanyi kazi full maana ilipata crack,upande wa tablet ya kutouch ni nzima,sasa nineambiwa kuwa unaweza kuweka keybord mpya,mwenye ujuzi...
Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I.
Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba...
Habari members,
Hivi kuna siri yoyote, anayejua kuhusu TV hizi brands kubwa maarufu na za kati kuwa kwenye box za kaki na maandishi meupe then na zenye sifa zile zile kuwa kwenye box za rangi...
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B.
Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B.
Nimepitia maelezo mitandaoni...