MSAADA: Lipi jiko bora kati ya Home base na Mr UK?

MSAADA: Lipi jiko bora kati ya Home base na Mr UK?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,712
Reaction score
1,661
Natumai mu wazima, naombeni ushauri.

Lipi jiko bora kati ya haya Home base na Mr UK?

Wazoefu wa haya mambo naombeni msaada ndugu yenu nimekwama, kwakuwa wengi humu ni wajuvi wa hizi mambo. [emoji120]
 
zote za kichina hakuna kitu

187C6B43-DA16-4162-852B-8A283BBFB3B4.jpeg

🤣🤣
 
Natumai mu wazima, naombeni ushauri.

Lipi jiko bora kati ya haya Home base na Mr UK?

Wazoefu wa haya mambo naombeni msaada ndugu yenu nimekwama, kwakuwa wengi humu ni wajuvi wa hizi mambo. [emoji120]

Wote wapo vizuri ila kwa uhakika kabisa chukua home base yapo vizuri sana kwanzia ubora na utendeaji kazi mr uk anatumia malighafi weak ila home base kila kitu kipo perfect kwenye bidhaa zake pia anauza bei juu kidogo kuliko mr uk
 
Back
Top Bottom