Jinsi ya kupakua (kudownload) movies subtitles kwenye simu

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
942
Wajuvi mimi ni mpenzi wa kutazama movies zenye sabtitle ya kingereza kwa yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload kwenye simu na kisha ionyeshe kwenye TV.

Huwa ninadownload movies kwenye simu kisha naamisha kwenye flash na kuanza kuzitazama.
 
Ingia google andika mfano Jina la movie Engish Subtitle (Extraction 2020 English Subtitle) then utaingia website zitakazo kuja na kudownload hilo file. Au tumia hii link www.tvsubtitles.net
 
Baada ya ku extract hilo file ikopi hilo subtitle kaiweke sehemu moja na movie ilipo. Then utaiplay hio video ya movie kupitia media player yako utaenda sehemu ya option au subtitle utaiunganisha hapo hapo kwenye media player.
NB: Utaiunganisha subtitle na media player ya movie kwa kuingia sehemu ilo andikwa subtitle ndani ya hio media player na kuitafuta location ulioiweka hio subtitle.
 
Je subtitle inaweza onekana kwenye tv
 
Je subtitle inaweza onekana kwenye tv
Utafanya hivyo hivyo utaweka movie na subtitle kwenye folder moja kama kwenye flash disk au external hard disk... kisha utaiplay hio movie kwenye TV yako. TV nyingi huwa zina button ya subtitle kwenye remote ya tv... utaibonyeza hio button kisha browse location yenye subtitle na kui click hio subtitle ili iunganike na video.
 
Me natumia media player iliokuja na simu ya samsung.
Movie nilioplay inaitwa Polar 2019 kama inavyo onekana.
Screenshot_2020-11-30-09-45-33.jpg
 
Back
Top Bottom