Jinsi kupata GADGETS katika window 10

Huja

JF-Expert Member
Aug 7, 2021
849
1,325
Habari jamii forum...
Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please....
 
Windows 7 (Ultimate) & ndiyo windows bora kabisa kuwahi kutokea

zilizofuata ni ujinga ujinga tu, bloatwares kibao vitu muhimu havipo
 
Habari jamii forum...
Mwenye ujuzi wa kupata GADGETS za saa na calender katika window 10 kama ilivyo katika window 7... Please....
Install Rainmeter

Halafu weka modern gadgets

Itakuja kitu kama hiki
preview.png

alternative win 11 ina Widgets
 
Back
Top Bottom