fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
naomba msaada nina lenovo yoga tablet,upande wa keyboard haifanyi kazi full maana ilipata crack,upande wa tablet ya kutouch ni nzima,sasa nineambiwa kuwa unaweza kuweka keybord mpya,mwenye ujuzi naomba msaada.ni hiyo hapo kwenye picha