Msaada laini ya voda

Msaada laini ya voda

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
wadau habari,ninaomba msaada kila ninapotaka kupiga simu kwa kupitia mtandao wa voda kuna maandishi yanatokea yameandikwa ACM limit exceeded,naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuondoa tatizo anisaidie natumia tecno w4.
 
Nenda kwenye Settings > Apps > Dealer > Clear data > Ok hadi hapo tatizo litakuwa limekwisha

KAMA HAKUNA DEALER FANYA HIVI
Settings > Apps > Phone > storage > clear data . the nenda kapige simu tatizo litakuwa limekwisha
 
wadau habari,ninaomba msaada kila ninapotaka kupiga simu kwa kupitia mtandao wa voda kuna maandishi yanatokea yameandikwa ACM limit exceeded,naomba mwenye kufahamu jinsi ya kuondoa tatizo anisaidie natumia tecno w4.
Tatizo hilo lipo kwenye simu za tecno c8, c5, w4. Tatizo hilo sijapata ufumbuzi wake, solution ya muda ni kuizima na kuiwasha simu yako tu, ikirudia tatizo unaizima tena na kuiwasha ndo unaendelea kupiga. Solution ya ku clear caches au app data haisaidii.
 
Tatizo hata nikiweka hii laini kwenye simu nyengine unashindwa kumpigia mtu ,yaani ukipiga inakata.
 
hivyo vyote nimefanya mlivyonielekeza tatizo halikuondoka Ila nimefanikiwa kwa kure-new laini yangu,asanteni.
 
Back
Top Bottom