Msaada King'amuzi cha azam

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,285
820
Msaada King'amuzi cha azam kinaniletea ivyo shida ni nn
Shifa nyengine nikijaribu kusearch zinakuja channel za startimes sijajua shida ni nn wakati mwanzo zilikuwepo channel za azam
IMG_20230121_152324.jpg
 
Dish lako limeshuka kidogo toka nyuzi 7 ilipo satelite ya azam hadi ses5 nyuzi 5 ilipo startimes .unajua ukibalance dish vizuri utaipata azam na startimes kwa pamoja maana satelite za zimekaribiana mno
Sasa basi unaaweza kulinyanyua dish lako kidogo sana bila kutumia nguvu chanel za azam zitarejea kama huwezi mwite fundi afanye hiyo kazi maana ni ya kitaalam zaidi
 
Back
Top Bottom