Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wana Jamii forums, naomba kuuliza jinsi ya kuuconect sauti ya tiv kuja kwenye radio msaada plz
0 Reactions
13 Replies
34K Views
Wakuu nipo na tablet Nokia T20 tablet hapa, nilikuwa naistall programs kwenye hii tablets..sasa nimepata shida jinsi ya kuiafany hii tablets niweze kupokea na kupiga cimu, pia kuweza kutumia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Salaam, Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara. Hii...
1 Reactions
7 Replies
589 Views
[INTERNET] Network Error: A connection attempt failed because the connected party did not properly respond after a period of time, or established connection failed because connected host has...
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Wakuu naomba mwongozo hii feature inanisumbua kutumia.
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Mwenye link ya free apk ya dls 2023 anitumie nmejaribu kuchek playstore wanauza.
0 Reactions
6 Replies
698 Views
Wakuu habari za jioni poleni/hongereni na shughuli za hapa na pale naomba kuuliza yoyote ambae ana duka la accessories za simu au anafahamu napoweza kupata hizi lightining wired earphones original...
1 Reactions
0 Replies
385 Views
Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao...
1 Reactions
5 Replies
695 Views
CHAJA hiki ni kifaa unachokitumia kujaza kifaa chako cha umeme baada ya nguvu ya betri kupungua.Vifaa vya umeme vitumiavyo chaja viko vingi vifuatavyo ni baadhi tu mfano;simu ya mkononi, tablets...
2 Reactions
2 Replies
822 Views
Wakuu habari ya nyie, straight to the point, nna mpango wa kuchukua PC itakayo weza kufanya majukumu yangu ya hapa na pale, main role ya PC yenyewe ni ku browse internet, reading documents na...
1 Reactions
13 Replies
972 Views
Nilihisi shock kidogo nilipokuwa nikichomeka bulb kwenye holder yake richa ya kuwa switch yake ilikuwa OFF. Nikahisi switch itakua closed hata kama iko off. Nikachukua tester ambayo iko rated...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Naomba maoni yenu nifanyaje, window inakataa Kuinstall kila ikifika asilimia 70. Je, nifanyaje hapo? Chief-Mkwawa
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua simu Kati ya hizi mbili nichukue moja tu, mzigo wa pesa umetema January hii mapema tu mwaka nauanza vizuri. Zikiwa zote ni gb 516 internal storage...
8 Reactions
155 Replies
14K Views
Au ni kwangu tu DSTV inachelewa sana kuwaka yaani inachukua dakika hadi 3 hivi na mbaya kama mpira unauwahi unakuta goli sijui nini jamani nifanyaje nirekebishe au
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wanabodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimenunua simu (Pixel 6 pro) kutoka ebay.. wakati nanunua muuzaji alidai kwamba simu ni Open Box na haijawahi kutumika na ni UNLOCKED. Simu...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
“The phone is not running Samsung’s official software. You may have problems with features or security and you won’t be able to install software updates” Je hakuna madhara yoyote kwa baadae? Je...
0 Reactions
4 Replies
541 Views
Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Tv yangu ilipata dhoruba ya kwenye kioo kweka hili wingu japo picha zinaonekana ila ni kero. Kwa mafundi naomba kujua kama linatengenezeka.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku? sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Glyphosate has already been proved to spread into the ecosystem, and now has been detected in wildflowers and pollen.TPRI and TBS please take immediate action. Thursday, January 26, 2023...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…