Msaada namna ya kutumia Nearby share.

Msaada namna ya kutumia Nearby share.

Wakuu naomba mwongozo hii feature inanisumbua kutumia.
kama unatka kushare na rafiki yako basi mmoja itabidi aminye send na mwingine receive pale kwenye file manager la google upande wa kulia utaona neno share minya hapo... kisha fwatisha kama nilivyokuelekeza .
 
Back
Top Bottom