PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 687
- 2,173
Nilihisi shock kidogo nilipokuwa nikichomeka bulb kwenye holder yake richa ya kuwa switch yake ilikuwa OFF. Nikahisi switch itakua closed hata kama iko off.
Nikachukua tester ambayo iko rated 100-500V nikatest kwenye nati za nyaya kwenye switch kila mojawapo taa ya tester ikawaka, nikaamua kuzifungua waya zote kwenye switch nikazitest tena kila mojawapo bado tester ikawaka. Basi nikaamini huko kwenye junction box L,N na E zitakuwa zimeshot huku nikijiuliza hii ni short circuit na kama ndivyo kwanini Fuse/na Circuit breaker hazikati umeme?
Kwenye junction box nikatest tena waya zote 3 LNE na tester ikawaka. Nikasema waya mbovu na nikaifungua kwenye junction box.
Ikawa completely disconnected from source. Sasa nikaamua tena kuitest hiyo 3wire cable nikahakikisha sehemu zilizo wazi hazigusani kisha nikachomeka waya moja wapo kwenye L ya socket nikatest waya zote 3 tester ikawaka, nikanunua cable mpya nayo nikachomeka mojawapo kwenye L na zote testor ikawaka. Je ni pour insulated cable?