gijos
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,186
- 1,843
“The phone is not running Samsung’s official software. You may have problems with features or security and you won’t be able to install software updates”
Je hakuna madhara yoyote kwa baadae?
Je naweza kuirudisha kwenye hali yake ya kawaida?
Je kuna faida ya kuwa hiv?
Msaada wenu ni muhimu kwangu wakuu.asante
Je hakuna madhara yoyote kwa baadae?
Je naweza kuirudisha kwenye hali yake ya kawaida?
Je kuna faida ya kuwa hiv?
Msaada wenu ni muhimu kwangu wakuu.asante