Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,328
- 2,242
Wakuu habari ya nyie, straight to the point, nna mpango wa kuchukua PC itakayo weza kufanya majukumu yangu ya hapa na pale, main role ya PC yenyewe ni ku browse internet, reading documents na kuangalizia movies, vile vile mimi sio gamer ila PC ikiweza kuplay light weight games ni vizuri, napenda kutumia Adobe premiere pro na After effects.
Kutokana na tight budget nimekutana na hii Mini PC AliExpress naona imenivutia, ila kwakua sio Computer Guru naamini hapa nitapata ushauri wa kina kabla ya kujilipua,
kwakua haina Monitor ningependa mtu anipe recommendation ya monitor ya kutumia ambayo pia haitavunja box, au kama kuna option nyingine pia itakua fresh mbali na hyo mini PC.
NB sijawai kutumia mini PC before wala kumiliki
desktop Computer.
Specs za hyo mini PC ni kama ifuatavyo
RAM 16GB.
SSD 512
Processor ni intel N5105.
Graphic card inatumie integrated GP.
Budget yangu ni 500K.
cc: Chief-Mkwawa na wengine wote.