Msaada wa kuchakachua modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kuchakachua modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Hiphop, Mar 15, 2011.

 1. Hiphop

  Hiphop Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari za shughuli wadau!
  Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji kutumia modem hiyo hiyo kwa line ya air tel, tigo na zantel, je inawezekana?kama ndio procedure ni zipi?
  Ahsanteni!
   
 2. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Taja model ya modem na IMEI number yake, tuichakachue fwasta.
   
 3. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa nadhani ungejaribu kwanza kuangalia vizuri humu humu JF kuna post nyingi tu ambazo zinazungumzia mambo ya modem na jibu la tatizo lako ungepata,lakini sio vibaya pia kama nitajaribu kukusaidia,kama unatumia modem za vodafone manufacture wake ni ZTE,chakufanya ni ku download dashboard ya zte ambayo utakuwa unaitumia badala ya kutumia vodafone mobile connect ambayo inasupport line za vodacom tu,so hii dashboard ya zte ina support line zote.

  zSHARE - ZTE Join Air-1.0.rar - Free File Hosting Service | Audio and Video Sharing | Image Uploading | Web storage
   
 4. Hiphop

  Hiphop Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu nimedownload zte dashboard na kufanya installation imeweka a blue icon yenye words join air but nikiconnect inaniambia device not connected,wakati nikifungua kwa icon ya vodafone inafunguka, nifanyeje?
   
 5. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
  1. Select Settings
  2. Select Connection > Add > Add RAS Config
  3. ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
  4. ‘Dial Number' *99#
  5. Select ‘Use the following APN name'
  6. then enter internet
  7. User Name: ''no need
  8. Password: 'no need
  9. Click Save
  10. Highlight the profile you want to use and click Apply
  11. Close the settings window
  12. now connect


  feedback ni muhimu na gonga hata thanks ukipenda
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
   
 7. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu..
  Hizi setting zina intersect pia kwa modem ya HUAWEI - Zantel internet?

  Tafazali usichoke kusaidia... natumai hutonipuuza kujibu mapema..
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
   
 9. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,954
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Kwanini uchakachue,nenda Tigo modem bei pooa Tsh 30,000 tu na mambo yanakuwa Mswano,ingawa Tigo haina speed kubwa kama Zantel lakini inajitahidi na nimeipenda haina usumbufu kama wa Zantel wa eti sijui upige simu kwa wiki kwa kununua muda wa maongezi wa 5000.Kuanzia nimenunua modem ya Tigo ,Zantel nimeipeleka jumba la Makumbusho
   
 11. Hiphop

  Hiphop Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 17, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu kwenye connect kuna add ila add ras halionekani,nifanyeje?
   
 12. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  bonyeza katika ADD,then zitakuja options mbili,
  1.Add RAS config na
  2.Add NDIS config
  chagua no.1 then endelea na hizo step nyingine
   
 13. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 14. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 15. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  hutaweza kwasababu hiyo software ni ya ZTE,so inauwezo wa kusoma modem za ZTE tu,za huawei haiwezi and modem zinazotolewa na zantel zimetengenezwa na HUAWEI na co ZTE!!!
   
 16. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuna thread inazungumzia namna ya kuchakachua modem za tigo hiyp ina-apply kwa modem zote mie nimechakachua za tigo, airtel na voda with the same program and it worked. kuna program ya universal code writer and universal master code zinafanya vzr tafuta hapahapa hiyo thread ina maelekezo ya kutosha
   
 17. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza kutupa link za kupata hizo program?
   
 18. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 19. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 20. s

  shadhuly Senior Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  mkuu naungana na wewe, mie nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa Zantel, na kila mwezi walikuwa na uhakika wa kupata tshs 40,000/= toka kwangu, sasa toka waanzishe huu utaratibu wao wa 5000/= before wameniboa sana, nimeshaitupa Modem yao kabatini. Vipi gharama ya vifurushi kwa Tigo ikoje? maana higgh life weeky bundle ya Zantel ilikuwa tshs 10,000/= unapata 2GB
   
Loading...