Nokia C3 vs Blackbery Curve

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
jamani naomba mnipe tofauti za kiutendaji na ufanisi wa hizi simu mbili, je ipi ni bora zaidi na kwanini?
 
jamani naomba mnipe tofauti za kiutendaji na ufanisi wa hizi simu mbili, je ipi ni bora zaidi na kwanini?

Ohh wao nilikuwa sijawahi iona Nokia hiii...Hebu Niambie kama bongo inapatikana.
 
nina uzoefu na zile nokia zenye tochi. ni nzuri sana hasa umeme ukizimika. Hii C3 kama itakuwa na tochi basi itakuwa nzuri sana.
 
Hujaweka wazi ni Blackberry Curve ipi unayozungumzia.
Ushauri,km ni mpenzi wa sms na kupiga tu na ubora wa na uimara wa Hardwear ni bora ununue hiyo Nokia C3,Kama ni mpenzi wa Internet ya kiganjani basi nenda kwa Blackberry.Lkn ungetaja specifically ni BB Curve ipi ingekuwa rahisi kukushauri direct.Coz kuna 8300,8310,8320,8520,8900,nk zote hizi ni Curve na zinatofautiana Processors.
 
nokia ni nzuri zaidi kwanini kwa sababu naipenda sana
Aaah! Dr. umeniangusha sana, yaani unasema nokia ni zaidi kwa kuwa unaipenda? najua unajua madhara ya kupenda, wa weza penda kitu kibovu kwa kutokujua kutokana na kupenda kwako ambako kume kupofusha kuona ubaya au uzuri wake halisi...

Kwa kuwa sijatumia nokia C3 siwezi kusema lolote juu yake, Blackbery Curve series sijazitumia hivyo sina comment kwenye hii hoja.

Ila mtoa mada unge fafanua kidogo kwa mfano ungeweka Blackberry Curve model flani ili tuweze kuzichambua na kuona ipi nzuri ila wewe umeshinda nisha nokia C3 na blackberry Curve series. ambako curve kuna matole mengi tu.

NOKIA+C3.jpg

Hii hapa ni Nokia C3 ambayo ni simu moja ila rangi 3 tofuati.

BlackBerry-Curve-3G-1.jpg

BlackBerry Curve 3G 9300

blackberry-curve-3g-9330-1.jpg

BlackBerry Curve 3G 9330

bb-curve-8520.jpg

BlackBerry Curve 8520

blackberry-curve-8310_00.jpg

BlackBerry Curve 8310

blackberry-curve-8320_00.jpg

BlackBerry Curve 8320

blackberry-curve_01.jpg

BlackBerry Curve 8300
 
specify blackbery model ipi?then we cn give u tofauti za utendaji!me binafci am using Nokia n82..ila if nikiuza hi kitu,i wl go for cmu ambazo za androneid os cz symbian os is getting oldfashioned
 
Hujaweka wazi ni Blackberry Curve ipi unayozungumzia.
Ushauri,km ni mpenzi wa sms na kupiga tu na ubora wa na uimara wa Hardwear ni bora ununue hiyo Nokia C3,Kama ni mpenzi wa Internet ya kiganjani basi nenda kwa Blackberry.Lkn ungetaja specifically ni BB Curve ipi ingekuwa rahisi kukushauri direct.Coz kuna 8300,8310,8320,8520,8900,nk zote hizi ni Curve na zinatofautiana Processors.
Nokia C3 imeundwa makusudi kwa ajili ya mambo ya sms lakini kwa mambo ya internate /email BB haina mfano,na hapa bongo ukitaka uifurahie BB,BIS tumia Airtel utafurahi na roho yako usisahau 35,000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom