Bongo-IT Community facebook Page | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo-IT Community facebook Page

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Einstein, Mar 11, 2011.

 1. Einstein

  Einstein Senior Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bongo-IT Community | Facebook
  Habari wana JF,
  Napenda kuwafahamisha kuwa, kuna page ya Bongo-IT community, imeanzishwa facebook kwa ajili ya kuwaunganisha wana IT wote wa kitanzania duniani... Kwa hiyo mnaombwa kujiunga ili kutoa mawazo yenu..

  Lengo hasa ni kujadili musitakabali wa IT-Industry Tanzania...

  Bongo-IT Community | Facebook
   
 2. Moseley

  Moseley Senior Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pamoja..
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  sie ambao hatupo ktk fani hiyo ya IT.hamturuhusu kutembelea hiyo tovuti ili nasi tujifunze?
   
 4. L

  Leney JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  We nawe mchokozi tu, hivi facebook unaweza wazuia watu wasitembelee??? LOL enewei, ur warmly welcome!
   
 5. Einstein

  Einstein Senior Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana Washawasha..

  Mtu yeyote anakaribishwa.. Kimsingi IT inamgusa kila mmoja wetu..
   
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Yaani nikisikia facebook najhisi kama narud kwny ujinga ujinga wa kitoto (teenage)...i hate that network!
   
 7. L

  Leney JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 315
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Well It depends on how one sees the glass, whether half full or hald empty!!!!

  Kwa mfano mimi niko mbali na home, hapa nilipo net bure, familia yetu tuko kumi, hapo hujaongeza ndugu jamaa na marafiki??? If it was not for facebook and skype, I would have to call them (money!!!), hapo nina ndugu wengine wako nchi zingine, wote tunajumuika facebook, tuna group letu tume create, so we chat together, kwa hiyo napiga sim mara chache sana na nikipiga naonongea na wazazi!!! So yes I dont hate facebook!!!!!!!!!!!!!

  Nimesoma shule tofauti tofauti, (labda kama wewe umesoma shule moja kuanzia msingi hadi chuo)... mimi binafsi, nimefurahi kuunganishwa na classmates wangu tena... Its like a miracle!!! So I dont hate facebook!!!! Kuna magroups ya shule nilizokua kuna meetings tunakutana, fundraizings tunafanya, and this is called social networking... its healthy for you!

  Naandika kitabu sasa hivi about my mom, so sometimes I post notes to my friends worldwide, napata audits, challenges na mambo kama hayo, hapo fikiria kama ningekua nataka kuanzisha biashara, this is the best best to start it easy marketing ukijumlisha na blogs, magazeti na midomo yetu!!!! So I dont hate facebook!!!!

  My point!!!
  Facebook sio all about kupost kama umekula, hujala, unapumua, umejikwaa... its much much more than this!!!!! Au umesahau misri????
  Eniwei, this is my perspective, you can continue hating facebook!!!
   
 8. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tunashukuru
   
 9. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  @leney,well said. Cudnt agree with u more!
   
 10. SamJet

  SamJet Senior Member

  #10
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sorry to say so, but it seems as if you are thinking slowly or old minded, Tatizo ambalo unachukia facebook ni kwamba wabongo wengi wanatumia hiyo network kwa mapenzi, kuchat na ujinga mwangine. Wabongo wanatumia technology kwa kufanya ujing na sio maendeleo, Hebu cheki wenzetu wanavyo tumia facebook huko kwingine...
  Jeshi la anga la marekani
  Ukurasa wa Rais wako
  Huu ni ukurasa wa Steve Jobs C.E.O wa apple anautumia kutoa matamko maalum

  Sasa watu na org hizi wanatumia db kama ku craete a link to all people rather that relying on websites. Tatizo ni wabongo hawajui maana yake!
   
 11. SamJet

  SamJet Senior Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  In addition to that
  Sorry to say so, but it seems as if you are thinking slowly or old minded, Tatizo ambalo unachukia facebook ni kwamba wabongo wengi wanatumia hiyo network kwa mapenzi, kuchat na ujinga mwangine. Wabongo wanatumia technology kwa kufanya ujing na sio maendeleo, Hebu cheki wenzetu wanavyo tumia facebook huko kwingine...
  Jeshi la anga la marekani
  Ukurasa wa Rais wako
  Huu ni ukurasa wa Steve Jobs C.E.O wa apple anautumia kutoa matamko maalum

  Sasa watu na org hizi wanatumia db kama ku craete a link to all people rather that relying on websites. Tatizo ni wabongo hawajui maana yake!
   
 12. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  They say Old Mind die Hard...I use to be like you so worries out.
   
 13. Einstein

  Einstein Senior Member

  #13
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni mtazamo tu Babaubaya.. Facebook ni mbaya kama ikitumiwa vibaya, ila pia ni nzuri sana kama ikitumiwa vizuri.. Kama mchangiaji mmoja aliesema kwamba ukitumia facebook ku-post vitu vya ajabu ajabu basi, hilo ni kosa..

  Bongo-IT Community page, inawakaribisha watu wote wenye mapenzi na IT.. Katika page hii, tunaitumia kama meeting point ya kukusanya mawazo, taarifa na resources zingine ambazo zitatusaidia katika kupiga hatua kwenye sekta hii..

  Unakaribishwa sana..
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nashukuru sana mkuu na mie nitawatembelea ili nijifunze mengi
   
 15. d

  dee Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Jf mimi nimejaribu kujiunga kwenye Bongo IT facebook page nimefuata taratibu zake nimeandika jina la kwanza jina la mwisho,email yangu ,passwd ,tarehe ya kuzaliwa mwaka wa kuzaliwa baadae nika SIGN UP nikapewa neno ambalo niliandika then nika SIGN tena LAKINI HAKUNA MATOKEO YOYOTE SO NAOMBA MWENYE KUFAHAMU ANISAIDIE ASANTE
   
 16. Einstein

  Einstein Senior Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Oky .. Kutokana na maelezo yako, inaonesha hukuwa na account facebook.. So, just sign in facebook, then nenda kwenye search field ya facebook na andika "Bongo IT community" then search..

  Ukiiona imekuja, just like it. .. then utakua umejiunga na page
   
 17. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  unajua some of us are having negative attitudes on something bila sababu za msingi. asante kwa kumjibu huyo ndugu vizuri nafikiri atachange his attitude toward most of things.
   
 18. Einstein

  Einstein Senior Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bongo-IT Community | Facebook

  Tanzanian Information Technology facebook page :
  Urz + Mine = Ours ..
  Alone is Weak, Together is Strong .. Exchange of idea doubles to Ideas, but Exchange of property halves the property.. Think of the value of ur +ve thoughts ...
  Join "B-iT Community" page.. They share the best from IT technology ..
  .. More promised to come ...!!
   
Loading...