SamJet
Senior Member
- Jul 22, 2009
- 162
- 13
Sasa WOTE Tizameni hii video na muone kwanin nachukia windows,
Video hii hapa
Afu kumbuka umoja ni bora kuliko ubinafsi. Linux nyingi ni OpenSource lakini Windows ni mali ya Microsoft, hata TOS zao zinasema System software kwenye pc yako ni mali ya microsoft. Tofauti na Linux ambazo nyingi (mfano OpenSUSE) ni open source
AFU WINDOWS INA BOOT MWAKA, CHEKI VIDEO UONE