Kwa nini TBC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini TBC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mavella, Mar 16, 2011.

 1. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  TBC nitelevisheni yetu ya taifa lakini kuipata kwa kutumia dish siku hizi inasumbua sana kwa haya madish yetu ya kichina yani kupata signal ni ngumu sana tofauti tv zingine za hapa TZ imekuwa kama ubc ya uganda mpaka utumie dish la ft 8 au zaidi ndio unaipata, ivi tatizo nini hasa wana jf ?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hakuna dish la kichina wala kijerumani. Inategema hilo dish lako limelengeshwa kuwasiliana na Satelite gani huko juu.

  kama dish lako linawasiliana na satelite ambayo haipokei matangazo ya TBC basi hata lingekuwa dish la mjerumani, mjapan ni yale yale.

  soma hii therad hapa https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/111274-pata-tv-zote-duniani-zilizoko-kwenye-satellite.html Soma kwa makini commnet zote za watu walichangia utapata mwanga na Elimu zaidi.


  • Kwa hiyo kwabla ya kujibiwa swali lako wataalamu watkuuliza kwanza Dish lako linawasiliana na satelite gani?
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  @mavela yuko sahihi TBC wanapatikana kwa shida sana siku hizi, mwanzoni ilikuwa naipata kwa 45-50% hivi sasa ni 27-30%.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi niliko katika saa 24 naweza kuwaona kwa wastani wa masaa mawili tu. Muda uliobaki ni weak au no signal! Tofauti na wenzao ITV, Capital, Star, Channel 10 wanaopatikana siku nzima kwa dish langu la ft 6.
   
 5. K

  K007 Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna cha kuangalia satelite wala nini, ni kweli TBC siku hz katika dish la futi 6 ni issue kuipata lazima kutakuwa na tatizo
   
 6. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani ndugu utakuwa hujanielewa nimesema tv zote za bongo nazipata kwahiyo ina maana dish langu limelenga INTELSAT 906 @ 64E
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...Lakini inasemekana TBC ina mitambo mikali kuliko stations zote hapa nchini ati!!
   
Loading...