Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hivi wana-JF inawezekana ukawa unapiga simu au kutuma SMS kwa mtu halafu inaingia kwenye simu ya mtu mwingine? Nimeshangaa kukuta SMS zangu zimeingia upande wa pili, pamoja na kwamba kule...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau nimeinstall win 7, sasa kuna mambo mengi nikitaka kufanya naambiwa nilog as administrator, nimejaribu kugoogle lakini kila njia ninayo tumia inaniambia registry ipo blocked na administrator...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba munisaidie software ambazo kupitia simu yangu ya mkononi ninaweza kutuma na kupokea sms popote duniani bila malipo.yaan wanaoprovide free sms.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya wadau hapa mie sijapata picha ya hawa jamaa wa google.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
You know what really lrks me? The people who feel the need to play music through the speakers on their mobile phone on daladala. These days all mobiles can take headphones, so do everyone a favour...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu pc yangu haina sauti ya kutosha kuweza kuckiliza track/movie hata kama volume imeongezwa kwa 100%.Nmejaribu kuadjust sound setting bila mafanikio.tatizo ni mimi au pc yenyewe ndio style...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
vigezo vya thread hii wachangiaaj wanaonekana week end ni wachache sana weng inaonyesha wanapata msaada wa internet za makazini siku za kazi huwa mnapatikana humu jamvin kuazia asubuh mpk muda...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Wadau naombeni msaada wenu maana nina vimeo viwili(Laptop) hapa, moja ni IBM Thinkpad T42P na nyingine ni Tshiba Satelite A135-S2386 zote zawaka ila hazidispaly katka screen, nimejaribu kuconnect...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Lappy inaanza kuwa nzito hasa unapoiwasha inakuwa busy kwa muda mrefu. Nitajuaje hizo startup program na namna ya kuzipunguza katika hp g5000, OS window 7. Pia nikiweka vi mb vyangu vinaliwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
From Yahoo friends I DO NOT KNOW HOW TRUE THIS IS. DOCTOR RAY 90210 "Very soon women will pay men to suck their breasts?" BBC Homepage Top News Story Doctors have recommend that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mara kadhaa nimekuwa nazungumzia mifumo ya matangazo kwenye mtandao kwa kutaja zaidi Adsense na jinsi watu au makampuni yanavyoweza kufaidika na mfumo huu kwa kuweka nafasi za matangazo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimejiuliza swali ni nini web desinger wanafanya kuingza ramani ya google ya eneo fulan kwenye tovuti zao? Baada ya kusoma soma na kutafuta majibu nimegundua na nimejarib kinachowezesha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF naombeni msaada wa keys ya software ya Flexi 8.1v au software ya Flexi expert ya V 7 expert kwa walewalionayo plase mambo yangu hayaendi kabisa nimekwama.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salama? hebu nijuzeni kati Kaspersky na Bitdefender ipi nzuri?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Personalized Assaults Exploit Libya Unrest: Symantec Investigators from Symantec the security company caution that highly-personalized e-mail assaults are being launched which are exploiting the...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Amani kwenu wadau, naomba msaada kama kuna m2 anaweza kunisaidia Software ya Adobe illustrator CS5, au version yoyote ya Adobe Illustrator!. Thanks!:wink2:
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu ameinstall pc suit kwenye pc yangu dell d620 kwa sasa ninaweza kucheza tracks kutoka kwenye nokia yangu n72 lkn cwezi kupata access ya internet nnapojaribu handset yangu inanipa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Space shuttle Discovery has blasted off on its final voyage, taking six astronauts on their way to orbit. Discovery will spend 11 days in orbit, and will dock with the International Space Station...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia thread mbali mbali ktk jukwaa hili na swala la modem limekuwa likijitokeza sana katika mijadala. Nimeona nianzishe post hii ili kufanya chaguo zuri la modem maana niliyonayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mozilla announces first release of Web Apps Project By Jose Vilches, TechSpot.com Published: March 7, 2011, 9:00 AM EST Mozilla is taking its first step toward building an ecosystem of web...
0 Reactions
4 Replies
334 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…