Knowlegde of the day:kuingiza ramani ya google kwenye tovuti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Knowlegde of the day:kuingiza ramani ya google kwenye tovuti

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Mar 8, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nimejiuliza swali ni nini web desinger wanafanya kuingza ramani ya google ya eneo fulan kwenye tovuti zao?

  Baada ya kusoma soma na kutafuta majibu nimegundua na nimejarib kinachowezesha kuweka ramani ya google kwenye ukurasa ni key za google API ambazo kama una acccout ya gmail unaweza kusajili na kupata bure.

  Baada ya hapo kwa kutumia ramani ya gogle unaweza ku fanya customistion eneo unalotaka lionekana kwenye page yako eg Dar es salaam.

  Mfano nimefanya jaribio katika web yangu ya mazoezi hapa http://mawasiliano.zxq.net/ramani.html

  So kampuni zenye tovuti zinaweza kutumia google map API kwenye site zao

  kama una taka kujaribu fuata maelekezo haya
  How can I embed a Google Map on my Web page? :: Free Tech Support :: Ask Dave Taylor!®
  Add Google Maps to your website

  Nawasilisha
   
 2. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanks, mkuu! Usichoke kutuelimisha!
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Powa mkuu ila na mimi mwenyewe najifunza naleta hapa kupata challenge ili wanaojua wanielimishe zaidi.
   
Loading...