Lets talk about modem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lets talk about modem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mayu, Mar 7, 2011.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nafuatilia thread mbali mbali ktk jukwaa hili na swala la modem limekuwa likijitokeza sana katika mijadala.
  Nimeona nianzishe post hii ili kufanya chaguo zuri la modem maana niliyonayo ya sasatel ile ya zamani haipo sapported na window 7 niliinstall badala ya win xp.
  Kwa mujibu wa post mbali mbali nimeona yafuatayo
  >Vodacom wana modem za sh 45,000 na 55,000.
  >Airtel wana za sh 65,000.
  >Tigo wana za sh 30,000(sina hakika sana kama nibei au ilikua promo na imeisha).

  Ninacho jiuliza ni je-
  >Ni modem gani kati ya hizo ni rahisi kuchakachua kwa mitandao yote tajwa?(i wish ingekuwa ya tigo maana bei yake ndogo).
  >Ni modem gani inaufanisi mzuri baada ya kuichakachua bila kujali ugumu wa kuchakachua wala bei?
  >[a]kuna utofauti gani wa hizi modem ingawa zote zinaweza kuingiliana line baada ya kuchakachua?kuna utofauti gani kwa modem mbili za Vodacom?
  >bundle zao zikoje na speed zao.

  Nimejaribu kucheck na site zao kuhusu bundle lakini kunabaadhi ya budle hazipo ktk site zao.
  Pia linapokuja swala la unlimited haya mambo ya speed yananitoa nje sana na vipimo vyake sijui mpbs, mps nk which is which.
  Your contribution will be highly appreciated
   
 2. A

  ALLY KILUNGUZO SALUM Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Na mimi ninayo ya vodacom,naomba pia kujua kwa hayo aliyoyauliza mayu kwenye topic
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  mkuu karibia zote zinachakachulika japo za tgo cjaipata nifanyie kazi
  ufanisi sijajua kivipi ila kila mtamdao unatofauti na mwenzako
  kila tolea wanapotoa kuna kitu wameboresha zaidi so mpaka usome maelezo ndio utajua tofauti
  kuhusu bundle zinatofautiana pia wapo wanaojua zaidi hapa watakujuza ila kama unaweza kutembelea ofisi zao itakuwa nzuri zaidi
   
 4. anania

  anania Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  Mkuu wa kazi,mimi natumia modem ya tigo iliyochakachuliwa na inafanya kazi vizuri tu kwa line zote husika.Tembelea hapa mkuu https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/110615-modem-za-tigo-zina-chakachulika-3.html
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Lets talk about modem Technically?


  • Modem ni nini?
  • Kuna modem za aina ngapi?
  • Tofauti ya Modem na router ni nini ?
  • Protocol gani zinatumika kwenye modem kusafirisha( Transmission) data, Error cheking and correction. etc
  • Specification gani na vitu gani viweza tumika kutambua modem nzuri na mbaya
   
 6. M

  Mayu JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Thanx mkuu, inamaana nikiichakachua hii ya tigo nitatumia kwa mitandao yote mitatu kwa maana ya kuwa na uwezo wa kutumia bundle ya aina yoyote ya mtandao husika? nina hofu pengine labda uwezo wa speed ya modem yenyewe ni ndogo hivyo ntakosa baadhi ya features ktk mitandao mingine
   
Loading...