Software gani ninayoweza kuitumia kutuma na kupokea sms within and outside country free. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Software gani ninayoweza kuitumia kutuma na kupokea sms within and outside country free.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by TUNTEMEKE, Mar 9, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wadau naomba munisaidie software ambazo kupitia simu yangu ya mkononi ninaweza kutuma na kupokea sms popote duniani bila malipo.yaan wanaoprovide free sms.
   
 2. T

  Technology JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  What is your mobile number? I will send you the link (not a software)!
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  angalia,skype software,sms disaccount ,huwa wana hiyo offer
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nime kupm ndugu yangu km vip unaweza kuni2mia .
   
 5. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Andika neno NIMBUZZ.COM.Ukishaingia hapa utakutana na link ambayo unatakiwa kuidownload kwenye simu yako kupitia nambayako ya simu.Waweza fanya zoezi hili kwa kutumia comp au simu yenyewe.Kisha unainstall na kufungua account yako ya Nimbuzz ambayo itakuruhusu kuwaunganisha marafiki zako wooote waliopo yahoo,hotmail,facebook,g mail,twitte na mingine mingi kasoro SKYPE.Usiniulize kwanini hapo sina jibu...!Link yenyewe ni hii hapa; http://get.nimbuzz.com Ukifanikiwa nitaarifu/usipofanikiwa nitaarifu pia...Kila anayependa ni kitu rahisi sana mnaweza tumia ndugu zangu alimradi upo kwenye mawasiliano.Simu aina yoyote isipokuwa ya Mchina line mbili na kuendelea maana juzi nimeona simu ya line tano....!!!!!!Mchina atatumaliza kweliiiii...
   
 6. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Toka uku Jukwaa la siasa Software zinaingiaje.....
   
 7. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nimekupata kaka ngoja nijaribu
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nimedownlod but nimeshindwa kufungua account coz connection ina fail sijui tatizo ni nini kwenye cm yangu.
   
 9. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Angalia kama unaweza fungua vitu vingine,Kisha jaribu kurudia,Kama tatizo sio simu basi inaweza ikawa net..Ila kama utafanikiwa ni njia nzuri san ya mawasiliano ndio ninayotumia,Just to make sure your connected with internet..Kama umefanikiwa kudowload na kuinstall na kama imekuonyesha kwamba Open your account umefanikiwa...Tumia email yako ambayo ni valid na password waweza weka unayotumiaga popote au ukatunga mpya.
   
 10. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Tupo pamoja,acha nisikilizie baadaye nijaribu tena nione respond yake
   
 11. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Appropiate post in a wrong section.Hivi inawezekana JF inajiendesha pasipo moderation?Maana kama ishu za software zinatundikwa Jukwaa la siasa,the worst may be just inches away before happening.

  Invisible upooo?
   
Loading...