Nina laptop mbili zote zina waka ila Hazidispaly on the screen | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina laptop mbili zote zina waka ila Hazidispaly on the screen

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by aklan, Mar 6, 2011.

 1. a

  aklan Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naombeni msaada wenu maana nina vimeo viwili(Laptop) hapa, moja ni IBM Thinkpad T42P na nyingine ni Tshiba Satelite A135-S2386 zote zawaka ila hazidispaly katka screen, nimejaribu kuconnect na exeternal screen wapi, nimejaribu kubadilisha RAM ila wapi, CPU fan zazunguka, je wadau mwanishauri nifanyaje hapo maana troubleshooting zote muhimu ni mefanya?
   
 2. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I also have the same issue with my hp pavillion dv6000 laptop.Inawaka na ku-display kwa several minutes then napata black screen though everything else seem to work.Wataalam naombeni ushauri on what to do before seeing a technician.
   
 3. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina dell inspiron 5, hai-display kwenye screen yake chochote. Ukiunganisha na external moniter inadisplay na unaweza kufanya kazi kama kawaida. Naomba ushauri wa kiufundi
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  @Mpangamji display cable ipo defective need to be replaced.ile fungua funga ya laptop cable inachoka na kuanza kukatika ni ile inayopeleka signal toka mother board to screan andaa kama elfu 60 to laki for new cable replacement.

  Lonestriker JE ukiiconect na Screen ya nje inabehave vipi?
  Kama inakuwa Ok then display cable au High Voltage unit ya Disply ndio tatizo nijulisehe then will help to repair it.
  Aklan tatizo lipo kwenye motherboards na most ni BIOS or Display chip.so far apa TZ wenye tools za kuweza replace hizo Bios awazidi 2 na wote wanazitumia for cellphone repairs.pole itabidi uachane nazo tu
   
 5. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Laptops zina complications nyingi, yaweza kua video connector kwa mdau alienzisha thread, au inverter kwa wadau waliofuatia. Pia yawezekana screen imekwenda na maji(dead); si rahisi kujua kwa maelezo mafupi lakini jaribu link hii hapa chini uone kama problem yako inahusiana na maelezo yalio katika link: A Step By Step Guide To Easy Laptop Screen Repair!
  Maumivu yakizidi muone DAKTARI !!
  *Warning ushauri huu ni kwa wenye ujuzi wa computer tu.
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hizi laptop zina technical defect toka kiwandani zimeshajadiliwa sana hapa . Hukoulaya ziliwa reccled na kurekibishwa hili tatizo.
  unachtakiwa kufanya ni kusoma Manual ya hiyo laptop. Haya ni maelezo slution ya kwanza wansema ufanye Hard Reset
  Kama isipofanyakazi basitafuta mtaalamu kama huyi afanye hivi


  Kwenye video utaona ni sababu ya joto VGA card inathiirika na HP walikosea kuiweka VGA karibu na CPU. Nimejaribu kutafute ithread ilijadili vizuri hili tatizo la HP nimeikosa

  nakushauri jarbukufanya haya

  • tembele webiste ya Toshiba kwenye kipngele cha trobleshooting and dowload .
  • Dowload manual ya laptop na jaribu kucheki jinsi ya kufanya hard reset pia. Unawezakutumia style ya HP but sina uhakika
  • Angalia kwenye common problems kama hiyo ipo na slution yake ni nini.( Nikipata chance nitajaribu kuresech specific solution)
  Alafu ukisema troubleshooting zote muhimuumefanaya un manisha nini. Tusije tukarudia kile ulichofanya otherwise kama alivyokushauri mdau mjuu peleka kwa fundi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
 8. f

  furahi JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Solution sina ila kuna sehemu nafahamu mafundi wazuri sana wa screen za conputer pale mnazi mmoja. Jirani na jengo la makao ya ccm kuna jamaa anaitwa Mbuya. Ukiwapelekea hakuchaji pesa mpaka kimeo chako kipone, na spares anaagiza nje.
   
 9. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  @Chipukizi,inadisplay vizuri tu kwenye desktop monitor.Maelezo ya Hp abt the technical faults nimeyasoma but am stil not so sure coz laptop yangu ina boot tu vizuri kwa 7bu kuna wakati naitumia hata kwa saa zima kabla haijafade out na kuwa black thou kama ni muziki sauti naendelea kupata minus display.
   
Loading...