Simu yangu imechakachuliwa, naomba msaada!!!

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,315
7,113
Hivi wana-JF inawezekana ukawa unapiga simu au kutuma SMS kwa mtu halafu inaingia kwenye simu ya mtu mwingine? Nimeshangaa kukuta SMS zangu zimeingia upande wa pili, pamoja na kwamba kule zilikokuwa zinakusudiwa kwenda zilifika!! Siku zingine una-beep upande mwingine ghafla mtu yule unayehisi kwamba huwa ameunganishwa kupokea pia simu zako naye ana-beep, hii imekaaje wakuu?

Lakini huwa namhisi jamaa yangu anayefanyakazi kwenye kampuni ya simu ndo kafanya madudu hayo. Sheria inasemaje kuhusu kuingilia mawasiliano ya faragha ya mtu mwingine? Naamini hapa JF kuna wanasheria watanisaidia ili nichukue hatua!!
 
kwa msaada zaidi mimi nashauri ukutane na customer care watakua na jibu sahihi zaidi kama shida yako ni hiyo
 
sheria ipo wazi hairuhusu mtu kuingilia privates za mtu ndio mana ata ww ukienda kuomba print out awakupi kirahisi. hiyo inawezekana anayekufanyia hivyo sio lazima awe kwenye kampuni ya cm kwakwe itakuwa risk kwani ukilalamika atagundulika cku hizi kuna software za free na zakulipia zinafanya kazi hzo na zaidi ya hiyo atakujua upo wapi na kama cm yako inakamera itapiga picha ya ulipo so advance.
uenda kuna jamaa unamchulia demu wake anakutengenezea ushahidi so be care
 
Google for spyware installed on mobiles. Something may have been installed on your phone. As suggested above contact your customer care but not sure if they will be able to fix it unless the problem is happening throughout their network. Kama jamaa yako anayefanya, kwenye hiyo kampuni kafanya hivyo, kwa sababu zipi? Are you on good or bad terms? More facts needed. You will need evidence to show that your privacy has been breached. Kama unahitaji ushauri wa kisheri on this then, sidhani hili ni jukwaa sahihi.
 
kwa msaada zaidi mimi nashauri ukutane na customer care watakua na jibu sahihi zaidi kama shida yako ni hiyo

nikweli lakini asiishie kwao wengi wao upeo wao ni mdogo sana wanamajibu mepesi kwa maswali magumu
 
Google for spyware installed on mobiles. Something may have been installed on your phone. As suggested above contact your customer care but not sure if they will be able to fix it unless the problem is happening throughout their network. Kama jamaa yako anayefanya, kwenye hiyo kampuni kafanya hivyo, kwa sababu zipi? Are you on good or bad terms? You will need evidence to show that your privacy has been breached. Kama unahitaji ushauri wa kisheri on this then, sidhani hili ni jukwaa sahihi.

sio lazima iwe imeinstalled kwenye cm yake akijua namba yake tu anainstall kwake na anapata data zote mkuu.
na mm nahisi huyu jamaa kaingilia privacy za mtu
 
sio lazima iwe imeinstalled kwenye cm yake akijua namba yake tu anainstall kwake na anapata data zote mkuu.
na mm nahisi huyu jamaa kaingilia privacy za mtu

Privacy Bongo wapi na wapi mkuu. Lakini kuna sababu kwa nini jamaa kamfanyia vile.
 
Privacy Bongo wapi na wapi mkuu. Lakini kuna sababu kwa nini jamaa kamfanyia vile.

mkuu akuna binadamu acyekuwa na privacy na ndio mana unaona watu wanakuwaga wakali sna wakiguswa privacy zao
 
Back
Top Bottom