Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

vp wadau,naona hawa walioanzisha olas hawakujipanga vizuri wana ujumbe wa kutegatega sana watu,kama change from being an orphan to a single parent or having both parents,tutawafufuaje wazazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mimi ni mdau from arusha na niko deeply in need na begi la mgongoni kwa ajili ya kubebea vitabu pamoja na laptop yangu,nimejaribu mabegi ya hp lakini naona quality yake sio nzuri sana,a durable...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa! Nimekutana na dell moja hapa ina sehemu ya kuweka simcard lakini nikienda kwa device manager sioni device yenye jina linalohusiana nalo. je inawezekana kuweka simcard na kutumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nilikua naomba msaada wa basic tutorials wa hizo mambo juu. Na je,nchini kwetu kama kuna wataalam wa hizi softwea mbona hamna application kama kwenye movies na games programming? Maana mimi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Heshima mbele wanatechnology,binafsi nataka kuanza kujifunza from scratch,hakuna hata programu moja ya kompyuta ninayoijua lengo langu ili niweze kuwa web designer
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazee Naomba Tips Kidogo za Kubadilisha Youtube Video kuwa Mp3
0 Reactions
8 Replies
2K Views
When all you have is a hammer, every problem looks like a nail. This is a common mistake that a lot of technical security practitioners make when dealing with security issues. Always focusing on...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapendwa wadau wa j.f, eti inawezekana ktk simu ya mkononi kublock namba ya mtu call isiingie kama anapiga, wala text msgs zisiingie! Inawezekana hii kweli? Tafadhali kama inawezekana naombeni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Can anybody help me please? I need help with my Assignment: This assignment is about concurrent programming in JAVA I'm required to come up with a system that can simulate an Automated Teller...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaada wataalam!PC yangu ninapo play video kwa kutumia VLC PLAYER inaonyesha picha kwa kufifia sana,weupe unakua umezidi sana kwenye picha.JE TATIZO NI NINI?WAPI NILIPOCHEZEA?naombeni msaada.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za weekend wakuu... Nimejiregister na hii online system ya bodi ya mikopo. Tatizo nimepoteza password, nimejaribu kuireset kwa kutumia swali la siri waliloniuliza nikiwa na register...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi wakubwa inakuwaje kuchakachua star times mbona inazingua? Ukijaribu kuchakachua inatokea sauti tu bila picha naombeni mwenye ile link yenye zile code aniwekee hapa,au ani pm maana hawa jamaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Any one anaeweza nsaidia site ambazo naweza pata electronics or telecomunication related projects. Nahitaj kumodify project au yeyote ktk hzo field.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu kuwa wana JF wote ni wazima! Kiukwel wakuu huwa natamani sana kujifunza na kuijua sana Adobe photoshop! huwa naona wivu sana pale napoona baadhi ya picha zikiwa zimefanyiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
--->Uliwahi kujaribu kutengeneza cartoon ya kiswahili kama kirukuu au Sara ? ---->Unajua software gani hutumika kufanya kazi hizo? ---->Unajua kazi hii inaweza kuchukua muda gani? ---->Unajua kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Description: How to set up 404 error tracking with PHP and Apache Server. *********** If you've noticed an abnormal number of 404 errors being hit on your site, there is probably...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada jamani jinsi ya kutumia simu yangu kam modemu kublouse kwenye laptop
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu salama? Naomba msaada kwa wale wataalam wakuchakachua DSTV,mshua amegoma kabisa kulipia siku hizi ndomana nataka nifanye makaratee. Naomba uni PM ili hawa jamaa wasitusanukie. Shukran wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…