HELP, HOW CAN I UNLOCK or FLASH BLACKBERRY VERIZON 8830 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HELP, HOW CAN I UNLOCK or FLASH BLACKBERRY VERIZON 8830

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by SunStrong, May 6, 2011.

 1. S

  SunStrong Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys, I have BlackBerry Verizon 8830 World Edition. I have tried hard to test all sim cards but it tells me "INVALID SIM CARD"
  Guys, I need your help. It's very urgent!
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Utaiuza sh ngapi nataka ya spea
   
 3. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mkubwa kwenye cm card kuna kiraironi kibandue alafu kibandiki vizuri kwa usahii after that cm card itasoma tu
   
 4. S

  SunStrong Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio inshu, nataka nitumie mwenyewe. kama vip banda dau ujinyonge wewe mwenyewe, IF YOUR SERIOUS!
   
 5. S

  SunStrong Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkubwa, tuwe serious kidogo! Line naitumia since long itakuwaje wewe uniambie ina kiji-nylon?
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  http://www.forum.gsmhosting.com/vbb/f489/download-guide-mfi-multiloader-blackberry-unlock-653921/

  Hii ni tovuti ina wataalam wanashuka mambo na ufundi wa kuchakachua simu za GSM. Hiyo ni thread ya BB.

  If u can follow technical instructions try it.Au peleka kwa mtaalam na muonyeshe hiyo link.

  BTN

  ukisema umejaribu all simcard una maana gani??
   
 7. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hizo simu ni toleo za kampuni ya mawasiliano ya Verizon zimefungwa toka kiwandani ili ziwe zinatumia line za kampuni hiyo tu kama ingekuwa ni iphone kutoka apple ningekuelekeza jinsi ya kuifungua angalia link za mkuu hapo juu zimeelezea kila kitu jinsi ya kufungua simu zote za GSM.
   
 8. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, ni kwamba simu yako iko locked.... hata uweke line zote hapa bongo haitakubali....kwa msaada wa ku-unlock nitafute nikufanyie hiyo kazi mbele yako dakika 10 tu zinatosha kui-unlock simu yako na kui-activate uweze kutumia BIS na GPRS full kwa kutumia browser ya BB yako....
   
 9. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hahhahaha! simu zote za GSM ? duh! hiyo hatari sasa... tuwe makini na ushauri tunautoa kwa watu hapa jamani maana tunaweza kuwasababishia wengine matatizo ya fifaa vyao kutokana ma maelezo yetu yasiyo kamilika na wao kuyachukua jumla jumla....
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Hiyo link nimetoa ni ya BB lakini hiyo forum yaani GSM-Forum by zfrank redirect ni forum ya GSM. Ni kama jf ina jukwaa la tenolojia siasa sheria basi . hao GSM-Forum by zfrank redirect mi nawakubali. kwa mambo ya simu. Na ndio maana nimemwambia kama yeye hawezi kufuatilia technical instruction atafute mtaalam

  Kwani wewe hiyo BB unaiunlock vipi ndani ya dk 10.? Alafu ebu chungulia hiyo alafu sema kitu gani cha GSM jamaa hawaja cover.


  Pia kwenye hiyo site ipo link hii http://forum.gsmhosting.com/vbb/f88/blackberry-free-unlocking-codes-request-only-here-1018381/
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika toleo la Blackberry ni silo lipenda ni hili la Blackberry 8830 World Edition simu inaonekana ni ya kisasa ila hata Camera ya urembo haina hovyo kabisa....
  [​IMG]
  [​IMG]

  Nachoipendea hii simu ni uwezo wake wakuchukua line za mitandao ya GSM na CDMA tu....
   
 12. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu, sina tatizo na wewe, ila yule mdau aliyesema kuwa hiyo gsmforum wanauwezo wa ku-unlock simu zote za GSM ndicho kitu nachokipinga hapa.... Kuna mamia ya simu za GSM zimewashinda watu kuzi-unlock sasa mtu anapo kuja hapa na kusema maneno kama hayo ananichanganya kwa kweli,Pia baadhi ya njia wanazo zitoa kwa kufanikisha zoezi la ku-unlock baadhi ya simu ni ngumu sana kiasi kwamba wanaoweza kutumia njia hizo ni wale walio level ya juu ya technologia hiyo pia wakiwa na vifaa vya ukweli, na siyo hizi njia za hapa bongo za baadhi ya mafundi wetu wanatumia ma-box ya kichina N'K....
  Ni njia rahisi sana tu natumia kwa ku-unlock baadhi ya simu kwa hizo dk 10, nitarudi kuzielezea baadae...
   
 13. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuuu ebu tuelimishe naona unahama kwenye mada.

  Wewe una unlock vipi hizo BB? unatumia teknolojia gani?

  Na huyu jamaaa blackberry FREE Unlocking codes Request [ONLY HERE] - Page 7429 - GSM-Forum watu kibao wamempa thanks ni waongo ??
   
 14. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sijahama kwenye mada, nadhani wewe ndiye umeshindwa kunielewa nacho kiongelea.... sija sema kuwa haiwezekani ku-unlock BB balinimesema siyo rahisi ku-unlock simu zote za GSM kama alivyo sema mdau hapo juu ambaye naona unajaribu kumtetea...

  Kumbuka mimi siyo fundi simu bali ni mtu ambaye nina uelewa na haya mambo kwa kiasi flani hivi... Maana ni mtundu wa fifaa vyangu..
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ok nimekuluewa "chief Rumanyika" mzee wa kaitaba teh teh teh joke .

  Na ndio maana nilimwambia kama hawezi kufuata technical details atafute mtaalam.

  Sasa toa shule wewe unaziun lock vipi kwa kutumia vifaa gani ?Acha kubania elimu na ujuzi.

  enjoy your week end. na fifaaaa fyako haaha nimecheka sana thanks
   
 16. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama umenisoma vizuri ni mesema nitarudi hapa kuja kuzielezea hizo njia vizuri... Siwezi kubania elimu mkuu kwani hata nisipotoa mimi wapo wengine watakaoitoa hivyo sioni sababu ya kufanya hivyo.. ni njia ndefu kidogo kwa kuelezea ndio maana nataka nipate mda mzuri niweze kuiwasilisha hapa... Na penda sana kushare haya mambo na watu wengine kwani na mimi bado najifunza, sema majukumu yamekuwa mengi mno mkuu ndio maana nimehadimika kwenye ili jukwaa leo nimepotea njia tu.... Ila nitarudi kwaajili yako ya kukueleza hizo za ku-unlock kwa dk 10...

  Nilipo sema fifaa vyangu nilimaanisha endapo nina kifaa kama cha mda hapa na kimezingua nitakitafutia ufumbuzi mwenyewe kwa msaada wa watu mbali mbali na kuhakikisha nimetatua tatizo lake mimi mwenyewe na hatimaye natoka na kauelewa hapo mkuu...
   
 17. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,719
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sasa mkuu ww unasema wanaoweza kufanikiwa zoezi la kuunlock simu ni wenye level za juu mi ninakupinga i can unlock the latest version of iphone 4 within 15 min kama mtandao hautasumbua na mimi sio mtaalam kihivyo kama unavyofikilia ww.
   
 18. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Na imani kiswahili ni lugha mama kwako na bilashaka utakuwa unaielewa vizuri....Soma post zangu vizuri.
   
 19. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wakuu hebu nisaidieni na hii ku unlock, nimesha zunguka nayo sana hadi nimeweka kwenye kabati,
  sidekick pv210
  View attachment 29567
   
 20. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0


  Msikilize huyu Toziwa naona kwenye comment na idaidi ya watu waliocheki hii clip inaweza kufaa na baadhi wanasupport
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...