Scientists naombeni support plz

Scientists naombeni support plz

KasomaJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
368
Reaction score
144
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na laptop yangu.
Details:
Laptop: HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook PC
OS: Window 7 (Baada ya kuondoa Vista iliyokuja na machine)

Jamani Nisaidieni tafadhari.
 
Ina sound card gani? taja model ay brand ya hardware za sound tukusaidie ku google?

unachoweza kufanya kama kwenye HP hawana nenda kwenye tovutiya watengenezaji wa drive ya sound yenyewe

Na hapa nacheki kwenye site ya HP watengezaji harware za sound za hiyo mashine yako ni Conexant

Na driver yenyewe unayotakiwa kutafuta ni Conexant High-Definition Audio Driver.

So jaribu ku google neno kama conexant.com

Ikishindikana jaribu kutumia drivers ya Vista. ambazo zipo HP sometime inaweza kufanya kazi bila shida.
 
Mtazamaji nakushukur sana kwa support yako, ngoja nihangaike nayo kufuata maelekezo yako. nitakuja tena kwa taarifa Kiongozi wangu.
Respect sana mkuu.
 
Mtazamaji hebu check majibu ya hawa jamaaa: Conexant: Support
 
Mtazamaji nakushukur sana kwa support yako, ngoja nihangaike nayo kufuata maelekezo yako. nitakuja tena kwa taarifa Kiongozi wangu.
Respect sana mkuu.

Powa kwani unatumia windows 7 gani 32 au 64.? unajua sometime usipotoa detail kamili na vizuri utakuta inabidi tukuulize maswali mengi kabla ya kuja na suluisho la uhakika .
 
Ni kweli Kiongozi. Ni W7 Ultimate 32 bit. na OS ni Genuine. Maswali wala si issue unaweza kunipa lead kwani kuna info naweza kuwa sijui nizitoe vipi, kwa kuniuliza itasaidia sana.
 
nenda kwenye torrentz sites tafuta driver scanner yoyote freshi. Itascan hizo driver na itakudownloadia...
 
Asante kiongozi, ukweli nili install unblue powersuite na hii ni combination ya driver scanner, registry na Pcspeedup, ukweli hiki ndiyo chanzo cha tatizo. nili download driver zote ambazo ili-spot kama outdated, lakini mwisho wa siku nikakuta imeniletea shida kubwa sana ambayo ndo nahangaika nayo kwa almost 3 weeks now, Na mbaya zaidi mpaka CD rom nimegundua haisomi, wala haionekani ukifungua my Computer.
otherwise sijui nini kimetokea. but for now i am concern na issue ya sound kwanza then nitafanya replacement ya CD Rom baadae.
 
Restore your system to 3.5 weeks ago--may it will help u.
 
download kitu kinachoitwa driver genius kisha ifunge kwenye mashine yako hiyo pgm itasearch drivers zako zilizomiss na kuzirudishia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom