How torrents work | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How torrents work

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, May 7, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  kwanza naomba nikiri jf imenifundisha mengi sana ikiwemo kuacha kuibiwa na mafundi uchwara waliokuwa wananiwekea software kwa bei ya kihuni na baada ya trial kwisha inanidai keys, lakini kupitia hapa nikajua torrents na sasa napata almost software yoyote niitakayo ikiwa na keys zake.

  Kuna mambo kadhaa sijajua kuhusu torrents na ningependa kujua.

  hivi seeders, leechers na peers nikina nani hasa, nimejaribu kugoogle nimeona seeders ni wanao host file, leechers ni wanaodownload, na peers ni jumla ya wote seeders na leechers.
  Ikiwa kama seeders ndio wana host file je hii inamaanisha site husika haina hilo file?
  Je nikimaliza kudownload file kila nikiingia online AUTOMATIC namimi nakuwa seeder?
  Nakama nikiwa seeder si inamaana na upload file, na kama na upload file ina maana bundle yangu inalika?

  Je file linaingiaje katika mzunguko kwa mara ya kwanza kabisa.

  Pia je sheria zina semaje kuhusu torrents site

  May be maswali yangu yako wrong kwasababu ya kutokujua torrent zinavofanyakazi.
  Naomba mwongozo wadau
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  duh hata mi mwenyewe hapa ni great pirate lakini haya mambo huwa yananchanganya sana!!tunaomba maujuzi hapa. ila kwa mm ninavyojua, ukishadownload file tu kwa torrent likajaa...soon unaanza kulishare kwa wenzako(upload-hii ni automatic kwenye torrent) kwa hiyo we unakuwa seeder. Infact file linaweza lisiwepo kwenye website husika lakini lile torrent file ndo mpango mzima...yaani linatumika lile(file sharing system),yaani ukishakidownload kile kinatafuta watu wote wenye file lile na unaanza kushare nao immediate.

  Dah mambo ya bundle kulika hayo mi siyajui...!! Uki-download bundle linaisha lakini uki-upload,no idea on that. Wenye maujuzi sasa hivi wataanza kutumwagia hapa. Refresh page every single min,utatoka kinywa wazi kwa kicheko.
   
 3. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nauliza jaman kudowload kwa kutumia TORRENT.Hiyo TORRENT nini?Naomba nielimishwe jaman wana IT.
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Ukiondoa torrents site hii site ni moja ya site inanipatia elimu sana . So unaweza kupata majibu ya maswali yako. HowStuffWorks "Peer-to-peer File Sharing"

  Kuhusu maswali mengine psecific kama hayajibiwa kwenye hiyo article ni

  Je nikimaliza kudownload file kila nikiingia online AUTOMATIC namimi nakuwa seeder?
  Yah ukimaliza kudowload file wewe unakuwa seeder lakini unaweza kustopisha kuwa seeder. Inategeme aunatumia torrent software gani . kama unatumia biitoorent unaweza ku remove file kwenye commpleted. Unapokuwa seeder ni kama unakuwa una uppload some chunks of file .

  Nakama nikiwa seeder si inamaana na upload file, na kama na upload file ina maana bundle yangu inalika?

  Yes inalika although bandwidth inayokwenda kwa ku appload ni ndogo kulinganisha na ile unayotumika unapo download nakushauri ukimaliza kudowload tu fali litoe kwenye msururu wa torrent


  Pia je sheria zina semaje kuhusu torrents site?
  Sheria hazina tatizo na torrents sheria zina tatizo na baadhi ya file software na miziki tunayodowload . Mfano kudownload ubuntu through torrent sio kosa lakini kudolwdd Winodws 7 kupitia torrent inawezza kuwa kosa.

  Nakushauri pia some FAQ section ya torrotent software unayotumia. ili ujue ni mambo gani unaweza kufanya

  So kifupi kama ilivyo TCP hizi software za torrents ni Protocol but zenyewe ni specific kwa kushare mafile kati ya user na ndio maana inatwa p2p yaani peer to peer
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Torrents ni peer-to-peer yaani faili linatoka mtu hadi mtu, site ya torrents yenyewe haibebi file unalodownload.
  Site inabeba ile initial .torrent file ambayo ina description ya file unalolitafuta.

  Tracker inakeep list ya watu wenye file na I.P address zao.

  Ukishafungua hiyo .torrent software yako (Utorrent,BitTorrent etc) itaiuliza tracker nani anayo hilo file.

  Then unaconnect na huyo mtu mnabadilishana file.

  Periodically software yako itaiambia tracker unashare mafaili gani, ili watu wengine waweze kudownload kutoka kwako.

  Sio mpaka umalize ndo unaanza ku-upload, unaanza kuapload as soon as una kipande cha file ambacho mtu mwengine anakihitaji, so wewe ni seeder tangu mwanzo.

  Ndio bundle lazima ilike.

  Ukiwa unabana kuupload wewe unakuwa leech unawanyonya wenzako, na obviously watu wote wakiwa leeches system haiwezi kufanya kazi, kwa hiyo bittorrent inategemea ushirikiano fulani kwenye jamii.

  Pia kuna trackers watakublock ukiwa leech.

  Mara ya kwanza kuna mtu anakuwa na file na anaamua kulishare, so anaziambia tracker kuwa mimi nina file hili na nataska kushare. (File-> Create new torrent. Kwenye uTorrent).

  BitTorrent ni legal ila kuvunja copyright ni illegal, pia kumbuka kuwa I.P address yako inakuwa public unapotumia torrents so kukupata ni kiasi cha kumwuliza ISP wako nani yupo nyuma ya I.P

  Pamoja na hayo operators wa Piratebay wamehukumiwa kifungo kwa kuendesha site yao.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  BitTorrent ni technolojia ya file sharing ambayo ni peer to peer, yaani haitegemei central server kubeba files, file zinatoka kwa mtu hadi mtu mwengine. https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/132819-how-torrents-work.html

  Kutumia unahitaji bittorrent client kwa mfano:
  http://www.utorrent.com/

  Kisha utahitaji kuipata .torrent file ya kitu ambacho unataka kudownload search
  Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The world's most resilient BitTorrent site , Torrent Search Engine au site yoyote ya torrents.

  Download hiyo .torrent file.

  Ifungue kwenye bittorrent client yako.

  Kama kuna watu wanashare file basi dowload itaanza.
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  May 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu nashukuru sana kwa muongozo wenu umenifunia macho, mimi natumia uttorent na mara tu nimalizapo kushusha mzigo na delete katika uttorent completed list, kwa mujubu wa maelezo yenu ni kwamba hapo inakuwa watu wengine hawawezi kuchota kutoka kwangu.
  Na hii issue ya kuwa kama unabana tracker wanakublock ikoje, maana mimi nimebadilisha na setting ili ilimit ku upload na idownload zaidi, inawezekana baadae nikawa full blocked.
  Nimeuliza hivyo sababu kunamuda naona kama vi mb vyangu vinakata fasta fasta, hata hivyo nilifanya kautafiti kadogo, nilicheck mb zangu kisha nikadownloa kitu nikakuta mb zilizo liwa ni nyingi kuliko ukubwa wa file nililo download
  nadhani ukiwa unadownload at the same time unauplod kile unacho download
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kama nilivyosema unauplaod as soon as kuna mtu anahitaji kipande cha file ambacho unacho.
  Sio mpaka umalize kudownload ndo uanze kuapload, bittorrent unadownload na kudownload vipande vya file. Hii inakuwezesha kudownload file moja kutoka watu tofauti unachukua vipande kisha vinaungwa.
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Vipi nikidownload Limewire au LimeFrost then nikashare music files (P2P) legally ni kosa?
  Sorry nimeenda nje ya topic kidogo lakini nimeona nikuulize sababu you seem to be very knowledgeable ni hivi vimbwanga.
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kushare kitu chochote ambacho hauna haki ya kukishare ni kosa haitegemei unatumia technolijia gani, so kamu huo muziki haujapewa haki ya kushare ni kosa kisheria.
   
 11. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwa maana hiyo basi hata kudownload Torrents ni kosa?
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Torrents ni powa kama upo huko kwene internet jungle, ukiwa nchi za watu cheza nazo mbali unless kama unaeza kurisk viza na maisha yako kwa ajili ya torrents. Simply bad news.
   
 13. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Haya mkuu ahsante. Nitadelete torrents na Limefrost na nitaacha usanii nisijekutana na court order kwenye mail box ama nisijegongewa mlango na wazee wa makoti marefu buree.
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Duuu!!??? yani siwaelewi kabisa na haya mambo ya Torrent lakn mnaanza kunitisha.mie nimeelekezwa hiyo kwa ajili ya kudownload movies...ina maana ni dhambi?(illegal???)
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Are u jokin'? sasa ni nani atengeze muvi ya up to $50 mil halafu aweke online watu wa-download bure? nways, unaeza kutumia torrents kushusha mafaili ila wakikuotea kuwa tayari kwa consequences..ni hayo tu bi mkubwa.
   
 16. P

  Paul S.S Verified User

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Acheni woga bana, kabla hawajafika kwako inabidi waanze na wenye hizo site kama ilivyo kwa thepiratebay, huku tupo porini bana
   
 17. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ukiwa nje ya US sidhani kama kuna tatizo. Sisi tulioko huku ndio noma
   
 18. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,056
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wala usiogope huyo haelewi anachoongea kwasababu kutokana na torrent technology inavyofanya kazi ni vigumu kukukamata kwasababu unacho download siyo file la muziki au movie bali torrent (kijipande cha file ambacho ni encrypeted). Kama unadownload p2p sawa lakini kama unatumia bitorrent network wala usiogope kwasababu hiyo siyo centralized system.

  Hivi vi-torrent ni vi-millioni vya vipande vya mafaili ambapo ukishavimaliza kuvi-download hiyo bittorrent client inachofanya ni kuviunganisha programatically. Hata ISP hawawezi jua umedownload nini kwahiyo usiwe na shaka labda kama shaniqua ((( LOL )) kaamua kukuchomea la sivyo mambo shega tuu.
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kama unadownload copyrighted material ni kosa.
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu unahakika wakitaka kuku trace umedownlod nini watashindwa? sidhani kama upo sahihi, nakubaliana kuwa huku kwetu kajamba nani sio issue sana lakini kama ikiwa siriazi wanakudaka mkuu
   
Loading...