Kupata ITV, Star tv na Channel 10 kwenye DSTV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupata ITV, Star tv na Channel 10 kwenye DSTV

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mupirocin, May 6, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakuu naombeni msaada, hivi karibunini nimenunua dstv, tbc ndo tv ekee ya kibongo ila iniboa sana. Sasa nifanyenye kupata hizo tv hizo? Naombeni sana wdau
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa nini usiwaulize hao dstv waliokuuzia hicho kifaa, au unataka tu tujue kwamba umenunua dstv decoder? Hiyo dstv yako haina channels directory au wewe ni kihiyo? bye
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaaaaaaa........I LOVE JF
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kumbe mnatamani vya bei ya juu halafu vinawashinda kula hata ukikimbilia disco za mjini hazifikii utamu ngoma za asili za vijijini.We rudi kwenye TV ZETU ZA MBAO zina utamu wake utaburudika vya kutosha
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaa; LOVE it more:happy:
   
 6. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kumbe hata kwa wakubwa nako kuna shida, nilifikiri ni hizi zetu za bei nafuu tu.
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Dstv wanabeam signal kupitia satelite tofauti na ile inayobeam ITV n.k. So akuna jinsi you have to buy second dish
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hivi humu ktk jukwaa hili si ndio mambo tunajadili haya? kipi cha ajabu hapo, napata shida kuelewa upeo wako umekomea kuwa kununua dstv ni ufahari wa kutangazia humu jf, mind that we are using fake id

  This is not chit chat

  itakuchukua muda kuelewa ulichoandika ni crap

  kaaazi kweli kweli, dstv ndio ukubwa, ukijipanga simple tu

  youre real a great thinker
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizi data ziko sawa?Free TV from Tanzania - LyngSat .

  Kama anaweza kupata TBC kwa nn ashindwe kupata nyingine za free? au ITV start TV wao wanatumia satelite gani ?
   
 10. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawezi kupata ITV wala star TV kwa sababu hizi huwa zinapitia Intelsat 64 degerees East wakati hiyo Dstv inapitia W7 36 degrees east...hiyo TBC anayopata ni ile inayokuwa propagated kwenye transmission za DSTV.....akitaka hizo ni lazima anunue lile dish kubwa au aendelee kutumia antena yake tu
   
 11. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kupata ITV,Star TV na nyinginezo za kibongo,just disconnect the DSTv cable kisha unganisha antena ya chadema na utafurahia maisha kama wengine tuanaothamini vya nyumbani.Welcome back budy!!!!!!
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Startv tbc zote zinapatikana kwenye inelsat why zingine???au unaniambia ni transmission za Dstv??unamaanisha ni local transmission???nje hapati wanaotumia Dstv??
   
 13. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Anaweza kupata, anachotakiwa arudi awaeleze. Dstv wanamadaraja tofauti, kuna nyota 1,2,3 na yanatofautiana channel inategemea umechagu daraja gani.
   
 14. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #14
  May 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Kula michannel ya ukweli...haya ma local channels hayana jipya babu!
   
 15. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kama unadhani ni kihiyo si ndo maana kaomba msaada!
   
 16. x

  xman Senior Member

  #16
  May 7, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee katika channel list/banquets ambazo d.s.t.v wanaoffer kwa kifupi hakuna local channels zaidi ya t.b.c so you could have asked d.s.t.v for more information kuhusu channels kabla ya kununua
   
 17. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  WALA SIYO OFFER,TBC wanalipa kule baada yakuingia mkataba nao na TBC ilikuwa inarusha baadhi ya mechi za nje
   
 18. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Umeonaeeeeeee! I like this!!
   
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mnakenua nn sasa?peleken mambo kama hyo chitchat...nyambaf
   
 20. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mkubwa kama ungekuwa na dish kubwa lenye motor ningekuelekeza cha kufanya lakini kama unatumia vile vidish vyao vya kupachika ukutani wee kula tu ze komedi ya kina Joti coz satelite wanayotumia ITV NA TBC1 ziko tofauti kabisa hii iko huku na nyingine ipo huku
   
Loading...