Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,537
- 7,353
Nimejitahidi kuangalia sites mbalimbali via google nimetoka patupu. sasa kama kuna mtu keshawahi fanya hii kitu naomba animwagie maujuzi hapa. Optical drive-cd rom yangu imegoma na sina option nyingine ya kuinstall window XP.
N.B. Nimeinstall linux-ubuntu through pendrive na ndiyo ninayoitumia kwa sasa na kwa msaada tu how to install Linux using flush ni kwamba:
Niliweka live dvd ubuntu(at the time rom inafanyakazi)..kwenye system-adminstration-start up disk creator. Kutoka pale unachagua file lako la OS unachagua tena pendrive-unaformat then unatengeneza bootable OS to the flush. hope nimeeleweka.