Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window
Nimefuata procedures za kufuata manually SOMA HAPA lakini nimekwama katika product key,nifanyeje?
Nitashukuru

R
 
Okey, tembelea thepiratebay.org . Kama unayo torrent downloader, pakua torrent ya kuitwa Windows 7 activator, ukishaihifadhi utarun kama software ya kawaida, itaboot afu kitu kitakuwa aktiveted. Niko kwa mobile hivyo siwezi kuweka link, kwa maelezo zaidi ni PM.
 
Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window
Nimefuata procedures za kufuata manually SOMA HAPA lakini nimekwama katika product key,nifanyeje?
Nitashukuru

R
MKuu achana na hiyo site fanya hivi:
Hakikisha umeinstall uttorent katika pc yako
Nenda hapa Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB na pakuwa hiyo activator, ukimaliza kuipakuwa utai run itafanya mambo yake kisha pc ita boot ikiwaka kitu itakuwa activated
 
Back
Top Bottom