Washington, Nov 11 (ANI): Chemists from the University of South Carolina are reportedly developing a camera that has the ability to see the invisible - be it bloodstains or any other substances...
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani...
Habarini wana jf, mimi ni mwanachama mpya wa jamvi hili hivyo sina budi kubiga hodi, hodiii wa jf, nilikuwa natembelea blogu mbalimbali lakini mwisho wa siku nikajikuta nimetua hapa, natumai hodi...
Kuna msemo kwamba, unaweza ukaandika hello world program katika languages mia, lakini pia bado usiwe hodari.
Maanake ni kwamba, huhitaji kujua langauges nyiiingi, ila hakikisha hio unayoijua...
Habari wana jf
naomba msaada wa namna ya KUREJESHA faili zilizoliwa na virusi kwenye flash disk,natashukuru kwa msaada kama upo maana nimepoteza document muhimu sana
BIG MISTAKE,INSTALL WIN 7 KWENYE MAC BOOK,NAFIKIRI ILIKUWA MISTAKE KWA SABABU SIKUWA NA SKILL NZURI YA KUTUMIA LINUX,TATIZO SOUND IMEPOTEA LAKINI IF U PLAY UNAONA KABISA INAPLAY LAKINI SOUND...
Wanajamii forum nimerudi tena niko mbioni kuzindua application ya ngu ya bongo music tune wakati wowote karibu
maelezo zaidi
ingia kwenye facebook search:bongo music tune
msishtuke na wala sijakosea hii thread ndo mahala pake hapa
Tujaldili
Process au hatua gani zinafanyika kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka bidhaa ya kondom ikazalishwa
Malighafi/raw...
Guys have been trying ku'download videos in form of ''torrents'' by using Bit Torrent in a wireless network...internet speed ipo safi kabisa but the files dat i want kudownload the download...
Gurus,
I need your help. We have a system developed using php and mySQL, running on windows OS with XAMPP.
To simplify installation I would like to have wise installer for this system.
Any...
Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST...
Wakuu Habari,
naomba munisaidie nawezaje kufungua "word document" iliyo na password (siijui password iliyowekwa), kama kuna software ya kufanya hilo naiomba.
Natanguliza shukrani,
Mak.
Kwenu Wataalamu JF. Nina maswali mawili ambayo wengi wenu mnaweza kuyaona ni rahisi lakini kwa sisi ambao tumeanza ;kucheza' na Computer baada ya kustaafu kazi ofisi za serikali zisizo na Computer...
PLEASE, Naomba mnisaidie wadau. Laptop yangu ina OS mbili. Ubuntu na XP. Nikitumia ubuntu mambo poa ila nikilog-in kwenye windows XP haisomi flash wala externel, I don know how to solve it. I NEED...
Wadau naomba msaada wenu kuna ndugu yangu amenunua laptop
Ila akijaribu kuingia inamwambia imefungwa biodisk sasa ananiambia inabid i aingie kama guest.
Amepeleka kwa mafundi kadhaa hapo dar...