Ndg zangu wapendwa kumekuwepo na malalamiko mengi sana kuhusiana na wizi katika zap account na m-pesa. Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua kwamba kuna makosa yanayo fanywa na wamiliki...
hili tatizo la kopmyuta kuwa kama kuna vitu kwa ndani vinakwaruza ama kukoroma ni nini hasa? nilishasikia sijui ni RAM imechoka vile au nilisikia vibaya? na ufumbuzi wake ili isikorome tena ni...
Quote/Source: Brandon Griggs, CNN, June 01, 2011
When it comes to radiation levels emitted by cell phones, all phone models aren't created equal.
Cell phone users -- a group that, these...
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:
Nina nokia pc suit,ila sasa files naeza transfer ila net yagma,inanambia no 4nes found,pia nina bluetooth ambayo hata visibility haionesh yn!watc da prblm?
Kuna wakati unaweza kufikiria unaibiwa na mtoa huduma ya internet kwakuwa spidi ya internet yako inakuwa taratibu mno,wengine wamediriki hata kwenda kwa mafundi na kulalamika kuwa kompyuta...
Salaam wakuu wa jf,mimi ni mmja kati ya wadau wa graphics hapa jf,na nina blog yangu niliyoianzisha hivi karibuni kwa ajili ya kufanya designs za logo,banners na kazi nyingine za graphics kwa...
Hellow JF!!
Umeshajiuliza kwa nini NOKIA hawajaruhusu uwezo wa kucharge simu zao kwa USB cable?!!
LOh...Ukiwauliza wao wanasema kuwa ni kuwa Hawaamini Computer,na voltage zaweza change...
Salute.
Nili google AVG free antivirus na Avast nikapata lakini nilipokuwa na download baada ya kudownload AVG ikawa inadownload Cnet.
Sijafaham kwa nini ilikuwa inadownload Cnet na nafanyaje ili...
Habari zenu wanateknolojia,
Ni hivi nimehangaika mpaka nimefiakia hapa lakini baada kuziupload file zangu ziweze kutambuana na database,niliitumia index.php hii hapo chini ambayo nimepewa na...
Enyi wadau wa sub-forum hii ya technology ni vizuri tukawa tunajulishana kama solutions mbalimbali zilizotolewa na wadau humu zimesaidia kutatua matatizo husika. Kwa mfano kama ulikuwa na tatizo...