Kwa hiyo ndo nimechemsha?

Richbest

Senior Member
May 23, 2011
101
24
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?
 
nenda start alafu run alafu type CMD alafu OK, andika systeminfo na press ENTER, copy maelezo yatakayokuja utuwekee hapa ili kupata msaada sahihi
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nenda start alafu run alafu type CMD alafu OK, andika systeminfo na press ENTER, copy maelezo yatakayokuja utuwekee hapa ili kupata msaada sahihi

c:windows/system32/CMD.EXE microsoft windows(version 6.1.7600) copyright (c)2009 microsoft corporation.all rights reserved.
User:best.mkuu ndo niliyoyakuta hapo!
 
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?

Ni kweli yapo mapungungufu mengi tu ukilinganisha na computer za kisasa zaidi, ila kwa upande wangu sioni kama ni tatizo kubwa kihivyo. Nina maana kwamba watumiaji tulio wengi hatuna knowlege kubwa sana juu ya matumizi ya computers. Kiukweli tulio wengi (may be including you) tunatumia computer katika shughuli ndogo ndogo na za kawaida sana za kila siku. So, kwa specifications hizo bado mi naona hakuna ulichopoteza nina hakika hata bei uliyonunulia inaendana na specifications za computer yako. Wala hakuna haja ya kujilaumu.

Lakini ngoja wataalamu waje na majibu yao ili tuendelee kupata somo.
 
Kubadili processor kwenye laptop sio rahisi. 32 bit haina mapungufu kama hauhitaji zaidi ya 4GB RAM
 
Processor mpya kabisa ni Corei 7. Laptops nyingi huja na Processor onboard na hizi huwezi kubadilisha. P4 huwa zina support 32bit OS na 64bit OS. Unachoweza ku expand ni RAMS hadi kufikia 4GB na kuongeza wireless capabilities kama ina slot. Kwa ushauri ni Jaribu UBUNTU OS ambayo ni bure na ina usalama zaidi kutokana na viruses na Trojans. Kama lazima Windows OS basi jaribu Windows 7, 32bit au 64bit.

It's not that I'm so smart, it's just that I stay with problems longer.
 
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?

Unataka kui2mia kwa ma2mizi gani?
 
sio mbaya kwa mambo uliyo ya taja. Tumia tu hyo mashne yako ukipata mzigo mwngne ndio ununue nyingne pia kama procesor ni 1.6ghz na kuendlea na ram ni 1gb na kuendlea unaeza weka wndws 7 .ubuntu ni nzuri lakn kama windws inakupga chenga ubuntu ndio kabisa utatupa laptop yako. Ushauri wa bure usitumie laptop kitandani utai haribu iweke juu ya kitu kigumu .
 
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?

Kujua ukubwa wa ram na procssor yako nenda kwny icon ya my compta ryt click afu properties utaona zimeandkwa
 
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?

Kujua ukubwa wa ram na procssor yako nenda kwny icon ya my compta ryt click afu properties utaona zimeandkwa .natumia pentium 4 na iko poa sana
 
sio mbaya kwa mambo uliyo ya taja. Tumia tu hyo mashne yako ukipata mzigo mwngne ndio ununue nyingne pia kama procesor ni 1.6ghz na kuendlea na ram ni 1gb na kuendlea unaeza weka wndws 7 .ubuntu ni nzuri lakn kama windws inakupga chenga ubuntu ndio kabisa utatupa laptop yako. Ushauri wa bure usitumie laptop kitandani utai haribu iweke juu ya kitu kigumu .

Hapo kwenye rangi hasa dell na toshiba..
 
Habari za jumapili wapendwa?nimenunua laptop procesor ni pentium na ni 32 bit os je kwa iyo itakuwa ina mapungufu gan ukilinganisha na za kisasa au naweza kubadilisha procesor?

Hiyo laptop umenunua kwa madhumuni gani? Kuchezea game, ku-type, kuangalia video, n.k?
 
Kujua ukubwa wa ram na procssor yako nenda kwny icon ya my compta ryt click afu properties utaona zimeandkwa .natumia pentium 4 na iko poa sana

vp nasikia inakuwa ya moto sana inapotumika je hiyo ikoje?
 
Back
Top Bottom