Zantel network connection problem

Zantel network connection problem

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Salama, jamani ninapata tabu katika kuunganisha network ya Zantel pia na kujaza vocha kila nikiunganisha napata msg ifuatayo "Error 691: aceess was denied because the username and/or password was invalid on the domain". Msaada please.
SmmDbKIAAAAAElFTkSuQmCC


6+h51vq9ZEIAAAAAElFTkSuQmCC
 
Kwenye username weka '@zantel.com' without quote ila password acha wazi alafu jaribu tena kuunganisha.
 
asante mkuu ila nimejaribu lakini naona tatizo liko pale pale.
AJWDtr5tyVIMAAAAAElFTkSuQmCC
zantel setting.png
 
Back
Top Bottom