Msaada

Msaada

Namour

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
183
Reaction score
59
Naomba mniambie ubaya na uzuri wa laptop aina ya Sumsung.
 
ubaya au uzuri wa laptop unategemea na aina na sifa ya laptop husika pia matumizi ya mtu. Laptop inaweza ikawa mbaya kwangu kutokana na matumizi yangu lakini inaweza ikawa na uzuri kwako kutokana na matumizi yako ni vyema kama ukinieleza unatumia laptop ya aina gani na kwa matumizi gani ili nijue kama inakufaa au la.
 
Kwa jina la "Samsung", ni kutumia common sense na kujiuliza. How dedicated they are katika kutengeza laptops? Sisemi kama ni mbaya, lakini ipo nyengine bora one of thoooosee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom