Slide show picture

Slide show picture

kiloloma

Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
54
Reaction score
3
Nina picha za mnato nataka kuziweka kwenye slide show je ni soft ware ipi nzuri . Ninmejaribu p dvd maker quality imetoka mbovu nina omba msaada
 
unaweza kutumia software inafahamika kama "Ashampoo 10".Ni burning software lakini pia inatoa option ya kutengeneza slide show na unaweza uka-add muzik kwenye hiyo show!
 
Back
Top Bottom