Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika...
Touchscreen system kuna wakati inagoma,au unapobonyeza au kuhitaji icon ya chini,inakubali ya juu. Au kuandika meseji,unapobonyeza herufi m,n,o, inakataa inakubali d,e,f..
laptop skins and decals are in trend now, I have seen many people with their skinned laptop, netbook and notebooks.
Is there any benefits of using these laptop skins?
Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.
...Bandugu,
Nina laptop (Asus X51Rseries), keyboard yake in-hang nikikaa kama dakika tano bila ku-type kitu. Hadi ni switch off na ku switch on (hata RESTART function haifanyi kazi). Letter tabs...
The Apps4Africa Challenge began in late 2009 when several individuals, organizations, and private companies joined together to propose a competition that would reward local innovators for their...
Wakuu kama unasimu za verizon ambazo kuulizia salio ni kasheshe kuingiza voucher nimbinde maana ukiulizia salio yenyewe inapiga moja kwamoja na unaambiwa na system piga namba kwa uangalifu au...
Wadau nimenunua tupa nilikuwa nanoa fyekeo(kwanja) na panga ila naomba maelezo ili kupata makali yenye ukali inatakiwa kunoa pande mbili au moja za hvi vifaa (panga na fyekeo)?
Touchscreen system kuna wakati inagoma,au unapobonyeza au kuhitaji icon ya chini,inakubali ya juu. Au kuandika meseji,unapobonyeza herufi m,n,o, inakataa inakubali d,e,f.. Je nini utatuzi wake..