Maarifa ya kunoa vifaa hv vya kilimo kwanza!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau nimenunua tupa nilikuwa nanoa fyekeo(kwanja) na panga ila naomba maelezo ili kupata makali yenye ukali inatakiwa kunoa pande mbili au moja za hvi vifaa (panga na fyekeo)?
 
Unahitaji ushauri wa kisayansi (Tech, Gadgets & Science Forum) au kutoka kwa wenye uzoefu (Habari na Hoja mchanganyiko) ?
 
Unahitaji ushauri wa kisayansi (Tech, Gadgets & Science Forum) au kutoka kwa wenye uzoefu (Habari na Hoja mchanganyiko) ?

no i think that is a right place place coz kujua pia kuhusu sharpness ya vifaa inapatikana vp hyo pia ni science so mwenye idea ni vizur tukajulishana na kingine ni kwamba uzoefu unaosemea nnaouulizia unapatikana kwa mtu ambaye amewah pia kupractice maarifa flan so kama unaujuz na hlo ni vyema tukafahamishana.
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Back
Top Bottom