Waweza usiamini hii kitu lakini ndo ukweli; modem za tigo na light siku bila limit

e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
563
guys do not pm me about this.. Hii post ni out dated this does not work anymore.. Thanks!!!!
 
bahati mbaya mm natumia modem ya voda naweka unlimited ya mwezi mzima sasa speed imekuwa slow kweli...huna maujanja hapo kwenye voda?
 
okey mwana apo nimekupata ugenipa model yake kama vp inaweza kuchakachuliwa ikatumia lyn ya TIGO coz ata mm nilikuwa natumia voda daah nimeikimbia coz ni ni expensive halafu speed haiko constant namaanisha cku fulani net iko fasta kwl na cku zingine iko slow sana na cku hz ndo imekua SLOW sana
 
is it a free lunch?, coz kuna wakati voda nao walikuwa na udhaifu kwenye cheka internet, ilikuwa ikishajiandikisha net haikati hata ikifika mb 500 but now wameshajirekebisha so hata tigo watajirekebisha tu, if it is a free lunch then Ok!!
 
nishakuzoea ww unakuja hapa kujionyesha kuwa unajua.jana nimeku2mia kuhusu hii mambo ukakaa kimya!! kama ni maujanja kwann usiyaanike hapa kila m2 akayaona mana hata PM ht hao tigo nao watatuma kujua.
 
huyu jamaa aliweka hii tangu april, sina hakika kama inatumika bado
 
nishakuzoea ww unakuja hapa kujionyesha kuwa unajua.jana nimeku2mia kuhusu hii mambo ukakaa kimya!! kama ni maujanja kwann usiyaanike hapa kila m2 akayaona mana hata PM ht hao tigo nao watatuma kujua.
Mkuu hii ilikuwa april it doesnt work any more.. napia kuhusu iyo hack nyingine ya Tigo haifanya kazi tena
 
Okey pple hii kitu nimekikundua na ningependa mjue pia sasa tigo ndio mtandao ambao unatumia 3.5 G ambayo internet yake iko fasta kwl na very cheap BUT wngu namiini wajua hyo ni kwl lakini cheaper the slower namaanisha kua unajiunga na light cku ya tigo ni 450 48hrs UNLIMITED lakini wana limit download speed inakuwa slow sana sasa there is a way ambayo unaweza fanya wasilimit download speed na ukatumia kama unavyotaka hzo cku mbili UNLIMITED coz kawaida ukijiunga na LIGHT CKU download speed yake kwny netwk ya 3.5G nzuri ukidownload haivuki 12-20 kbps now kwa mtu wa kudonwload heavy haitamfaa... ikiwa haiko limited inagonga 150-280 kbps yani nimeshusha muvi kama mchezo lyk nw nko na LIGHT CKU na SHUSHA muvi nyingine as WE SPEAK na imekuwa hvyo kama wk ya pili hv na nimejaribu hii jia kwa watu kama watano hv na wote WANAFAIDI yani njia ni SIMPLE sana soo kama kawa SAMAHANINI CTOWEZA WEKA HZO NJIA APA lakni leteni hzo PM na NITAWAPA... coz unajua apa wanacheck wengi na wao wapo PIA (TIGO)na naamini wakigundua ni RAHISI sana KUREKEBISHA soo maelezo nitawapa kwa PM so leteni HZO PM na hiki kitu NIMEJARAARIBU kwny LIGHT CKU na LIGHT week n pia SIJAJARIBU bado KWNY modem zao lakini nimejaribu katika modem zingine tofauti kam TATU soo KAMA UKIFANIKIWA naombeni FEEDBACK..
kaka ni PM
 
kama natumia simu yangu ya nokia kama modem inakuwaje? Inawezekana?
 
Ni kweli sasa tigo ni cheap nilikosea nikafika ofisini kwao kurekebisha cm nikagundua, wana simu za mkononi na wana modem, ukiiweka katika mdem ya kampuni ingine utafaidi tigo oyee ukiiweka ktk ya kwao ndio kabisaa
 
okey mwana apo nimekupata ugenipa model yake kama vp inaweza kuchakachuliwa ikatumia lyn ya TIGO coz ata mm nilikuwa natumia voda daah nimeikimbia coz ni ni expensive halafu speed haiko constant namaanisha cku fulani net iko fasta kwl na cku zingine iko slow sana na cku hz ndo imekua SLOW sana

Hamia Airtel, ila usimwambie mtu manake nako tukijazana mikate yenyewe michache
 
Back
Top Bottom