Nisaidieni, Nokia C 6 00 ninayoipenda ndiyo imeshakuwa kimeoo au...

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Touchscreen system kuna wakati inagoma,au unapobonyeza au kuhitaji icon ya chini,inakubali ya juu. Au kuandika meseji,unapobonyeza herufi m,n,o, inakataa inakubali d,e,f.. Je nini utatuzi wake..
 
c 6 zilifeli hizo simu ila watu bado munanunua tu, kaitengeneze mtafute mtu muuzie si simu ya kukaa nayo hio
 
jamani tusaidiane ina usumbufu unaokera nilikuwa sina haja ya kuislide ili kuitumia,lakini sasa bila kuislide siwezi kufanya lolote..
 
jamani tusaidiane ina usumbufu unaokera nilikuwa sina haja ya kuislide ili kuitumia,lakini sasa bila kuislide siwezi kufanya lolote..

hata mimi huwa nina tatizo kama hilo ila ilikua nokia n97. Cha kufanya slide then nenda menu then settings, huko kwenye settings tafuta sehemu inasema 'pen calibration' fungua hapo then kuna steps zitatokea ambazo ni rahisi tu kuzifata. Ila sina uhakia kama 'pen calibration' utaikuta kwenye settings since nimekuelekeza according to nokia n97.but cha muhimu hicho fanya juu chini kwenye menu uipate sehemu ya 'pen calibration' na uopen
 
Back
Top Bottom