Kila SIM kadi ina jina lake MTANDAONI

Kila SIM kadi ina jina lake MTANDAONI

Sugar wa Ukweli

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
373
Reaction score
40
Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika namba hyo ya juu ni 488.
2nd step:andika neno hili kama lilivyo na namba hzo tatu @*[488:0]
3rd step:baada ya kuandika kwenye sehemu ya post au comment ondoa alama ya * kwahyo itakuwa ivi Becky Wald
4th step:baada ya hapo bonyeza ENTER kama una2mia PC au kitufe cha COMMENT kama unatumia simu,then utaona jina la yo SIM CARD..
kumbuka:fanya hivi kwenye FACEBOOK tu..na unaweza kucopy @*[456:0] alaf ukapaste ucsahau kuandka namba 3 zako za mwsho na kuondoa * ndo ubonyeze COMMENT au ENTER.
 
Mmh...sijaelewa hapa! Jina la SIMCARD kwa mujibu wa nani...operator, manufacturer au facebook?
 
dah wabongo kwa copy an paste tuu, ni old trick not working nowadays. Kabla hujapost umeijaribu????
 
Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika namba hyo ya juu ni 488.
2nd step:andika neno hili kama lilivyo na namba hzo tatu @*[488:0]
3rd step:baada ya kuandika kwenye sehemu ya post au comment ondoa alama ya * kwahyo itakuwa ivi Becky Wald
4th step:baada ya hapo bonyeza ENTER kama una2mia PC au kitufe cha COMMENT kama unatumia simu,then utaona jina la yo SIM CARD..
kumbuka:fanya hivi kwenye FACEBOOK tu..na unaweza kucopy @*[456:0] alaf ukapaste ucsahau kuandka namba 3 zako za mwsho na kuondoa * ndo ubonyeze COMMENT au ENTER.

NEW TECHNOLOGY/TEKNOLOGIA YA SASA :lol:

ni pm basi kule unatumia which name 😛oa
 
mkuu sio hizo ni code za majina ya watu waliopo Facebook
 
Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi
1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika namba hyo ya juu ni 488.
2nd step:andika neno hili kama lilivyo na namba hzo tatu @*[488:0]
3rd step:baada ya kuandika kwenye sehemu ya post au comment ondoa alama ya * kwahyo itakuwa ivi Becky Wald
4th step:baada ya hapo bonyeza ENTER kama una2mia PC au kitufe cha COMMENT kama unatumia simu,then utaona jina la yo SIM CARD..
kumbuka:fanya hivi kwenye FACEBOOK tu..na unaweza kucopy @*[456:0] alaf ukapaste ucsahau kuandka namba 3 zako za mwsho na kuondoa * ndo ubonyeze COMMENT au ENTER.

kama namba za mwisho ni zero haifanyikazi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom