Vodacom Swaga

Vodacom Swaga

Hakikwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
4,049
Reaction score
1,022
jamani kuna ndugu yangu amejiunga na vodacom swaga hivyo wanamkata pesa nyingi afanyaje kujitoa. ASANTENI
 
Mkuu nami imepata ugonjwa huo huo! Kila nikiongeza salio, wananiletea sms eti kuna pesa zimekatwa kwa ajili ya swaga na hivyo kunipunguzia salio langu.
 
Piga customer care mi nimewapigia nikaomba wanitoe na amesema amenitoa
 
Back
Top Bottom