Nisaidieni, Nokia C 6 00 ninayoipenda ndiyo imeshakuwa kimeoo au... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni, Nokia C 6 00 ninayoipenda ndiyo imeshakuwa kimeoo au...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by trachomatis, Jan 17, 2012.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Touchscreen system kuna wakati inagoma,au unapobonyeza au kuhitaji icon ya chini,inakubali ya juu. Au kuandika meseji,unapobonyeza herufi m,n,o, inakataa inakubali d,e,f..
   
 2. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hata mimi huwa nina tatizo kama hilo ila ilikua nokia n97.unabonyeza call inafunguka kitu kingine,unakata inafunguka menu.yani button zinakua hazirespond vile unavyotaka. Cha kufanya slide then nenda menu then settings, huko kwenye settings tafuta sehemu inasema 'pen calibration' fungua hapo pen calibration then kuna steps zitatokea ambazo ni rahisi tu kuzifata. Ila sina uhakia kama 'pen calibration' utaikuta kwenye settings since nimekuelekeza according to nokia n97.but cha muhimu hicho fanya juu chini kwenye menu uipate sehemu ya 'pen calibration' na uopen
   
 3. h120

  h120 JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,798
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  c6 00 haina pen calibration mjomba cha msingi ajaribu ku-reinstall hiyo symbian operating system inaweza ku solve hilo tatizo
  natumaini unayo usb cable ya hiyo smartphone download ovi pc suite ya nokia na kisha install ktk computer yako connect hiyo simu yako kwa usb cable kwenye simu select option ya pc suite (ovi suite) halu fungua ovi pc suite kwenye computer click ktk software update utaona option ya ku-update au ku reinstall hiyo OS ila hakikisha una internet connection ktk computer yako.
   
 4. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kumbe c6 00 haina pen calibration? Sikujua ati!!
   
 5. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  asante sana mkuu..nitafanya hivyo...
   
Loading...