Msaada Tafadhali: Keyboard Hai-respond.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali: Keyboard Hai-respond..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtoboasiri, Jan 17, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...Bandugu,

  Nina laptop (Asus X51Rseries), keyboard yake in-hang nikikaa kama dakika tano bila ku-type kitu. Hadi ni switch off na ku switch on (hata RESTART function haifanyi kazi). Letter tabs nazo zipo ndivyo sivyo (kwa mfano + inanipa - n.k n.k).

  Naomba msaada kurekebisha hii maneno. Natanguliza shukurani zangu za dhati.
   
 2. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Tatizo limeanza sasa au ndio umeikuta hivyo? Kama limeanza mda si mrefu unakumbuka chochote kinachoweza kuwa sababu
  Touchpad/mouse inafanya kazi ikitokea hali hiyo?

  Unatumia Operating System gani, Windows ?

  Jaribu kwenda kwenye Control Panel uangalie power settings
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu Power seting ina uhusano gani na tatiz la keyboard.????

  Kama tatzo halikuwepo kabla afanye system restore.

  Au kama ana utundu wa kucheza na troubleshoting aangalie kwenye control panel/ device manger kama keyboard iliyokuwa setup ndiyo anatumia n ina driver sahihi . Maana kuna layout ya keyboard y USA,UK, Germany, etc ambazo sometime zinakuwa na tofauti ndogo hasa kwenye symbols na sign kama @, £ ,",?,/ na nyinginezo
  . Angalia hapa kwa malezo aidi ya keyboard layout
   
 4. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Nawashukuru wakuu.

  Natumia Windows 7, tatizo lilikuwepo tangu mwanzo japo mwanzo nilikuwa natumia Vista (na ndiyo ilyokuja nayo computer yenyewe). Nilipobadilisha OS nilidhani solution itapatikana lakini hata Restart function ikawa haifanyi kazi tena.

  Nikifanya system restore itabidi nifanye back-up kabla?
   
 5. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Kutokana na statement hii

  Sababu tatizo linatokea tu system ikiwa idle ndio maana nimetoa wazo hilo.
  kwenye power options >> power scheme kuna settings kama turn off monitor, turn off hard disk ni vizuri ukichagua Never when computer is plugged in.

  System Restore haitasaidia kwasababu umesema tatizo lilikuwepo kabla hujaweka Windows 7 ina maana restore point ya sasa haitasaidia.

  Niliuliza kama mouse/touchpad inafanya kazi wakati keybord imegoma ili tujue tatizo ni keyboard peke yake au ni System kwa ujumla ndio ina-hang

   
 6. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  :A S 465: Haina haja ya backup kabla ya System restore kwa 7bu System restore does not affect your files but settings only! Ila kama tangu ikiwa na original OS yake bado ilikuwa na problem hapo jaribu kuifungua keyboard na usafishe raamani ya keyboard (nahisi huwa wanatumia benzene...nenda kwa wataalamu watakupa liquid ya kusafishia)...ikigoma na hapo vunja ATM ununue keyboard mpya mzee
   
 7. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  maranyingi unapoweka win 7 ktk Asu inaleta tabu ya drivers na tatizo hilo huenda likasababishwa na driver jaribu kutumia driver scan
  ku update driver zako au nenda kwa ASUSTeK Computer Inc. -Support- Drivers and Download scan driver zako na utainstall huenda tatizo likaondoka
   
 8. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sure mkuu.Windows 7 au windows vista ukiinstall tu,settings zake by default ni kwamba ina tabia ya kujiswitch off baada ya dakika kadhaa kama itakuwa ipo idle tu. What mtoboasiri anatakiwa afanye ni kudeal hiyo power settings kule control panel
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0

  Asante sana. Ila wakati mwingine touchpad nayo huwa ina-hang ila nikitumia mouse inafanya kazi
   
 10. KXY

  KXY JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 876
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 60
  Hujatuambia kama umefanya uliyoshauriwa na matokeo yake yamekuwaje...feedback please!
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Will try tonight and let you know mkuu!
   
Loading...