Wenye blackberry za verizon zisizoweza kuingiza vocha,kuulizia salio! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye blackberry za verizon zisizoweza kuingiza vocha,kuulizia salio!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KakaKiiza, Jan 13, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Wakuu kama unasimu za verizon ambazo kuulizia salio ni kasheshe kuingiza voucher nimbinde maana ukiulizia salio yenyewe inapiga moja kwamoja na unaambiwa na system piga namba kwa uangalifu au ukiingiza namba voucher yenyewe inapiga mojakwamoja nioneni ktk PM
   
 2. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kakakiiza,kwa nini ucmwange hayo ma skills hapa? Why mpaka pm?
   
 3. M

  Mayu JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Teh teh teeh, ukiona hivyo yupo kibiashara zaidi
   
 4. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bora angeweka weka jukwaa la biashara na matangazo!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Je niliowapa idea za kufanya simu ziweze kurikwest je mlifanikiwa??na je kulikuwepo na malipo maana Mkuu Mayu kaisha nipiga rungu huku naombeni mniokoe!!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Je niliowapa idea za kufanya simu ziweze kurikwest je mlifanikiwa??na je kulikuwepo na malipo maana Mkuu Mayu kaisha nipiga rungu huku naombeni mniokoe!!
   
 7. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijafanikiwa mkuu,nimefanya kama ulivyonielekeza lakini wapi!Kila nkiweka kuuliza salio inasema calling namba haijulikani!
   
Loading...