Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hivi G inauhusiano gani na speed? Katika SI unit za speed, je G ipo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye direct link ya kujifunzia anisaidie hii kitu nataka kuweka transatio image katika blog yangu nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani, nina usb flash sandisk 8gb. Nilinunua muda si mrefu. Tatizo lake kila nikiingiza kwenye laptop wakati inafunguka inachukua muda, panatokea green colour kwenye bar from left to right. Mpaka...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
>>System Manual SOFTWARE FOR: Sales Management (AR), Inventory/Stock Management, Human Resource, Asset Management, Purchasing Management (AP), Job & File Management, Document Management...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naulizia kuwa nawezaje kudownload game la pes 2010 FREE na kuendelea ambalo ni full version ambalo si DEMO??(football):A S embarassed:
0 Reactions
15 Replies
1K Views
The Dutch company PAL-V Europe NV has successfully concluded test flights of its flying car, PAL-V (Personal Air and Land Vehicle). During the past two weeks, several test flights were conducted...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Naomba kuuliza, je naweza ku-flush modem ya Sasatel ili niweze kutumia sim card za aina tofauti? Je ntafanyaje? Naomba msaada
0 Reactions
5 Replies
2K Views
How to Recover Deleted Files Have you accidentally deleted your files from the Hard disk? Do you desperately want to recover them back? Well, you need not panic!It is possible to recover the...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajf naomba maelezo (maana) ya haya maneno huku ukiyahainisha na internet service provider kwa lugha ya kiingereza au liswahili a) caching b) hosting c) conduit natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maonyesho maalum ya bidhaa za kiteknolojia yanatarajiwa kufanyika mwezi huu katika mji wa Birmingham nchini Uingereza kuanzia tarehe 11 hadi 15. Maonyesho hayo ambayo hukutanisha kampuni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Qn. A drug manufacturer claims that a certain drug cures a blood disease on the average 80% of the time. To check the claim, government testers used the drug on a sample of 100 individuals and...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
simu gani nzuri kwa matumizi ya internet?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Blackberry torch 9800 for sale for 680,000 tsh(Price is negotiable) Original Color:Red Memory:4GB internal and 4GB memory card. With Black protected cover or an original blackberry pouch if...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Hi!Wana jf,simu yangu aina ya nokia 3230 hai delete games,haina options za kudelete,naombeni msaada wakuu,pia streaming settings za hii simu
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Hi wataalam, Simu yangu ni LG X330T.. Saivi nikiconnect usb cable yake haidetect..yani,inaonesha charging lakini haileti ile option ya file manager ama com port..halafu kwene laptop inatoa...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
jamani mimi laptop yangu haionyeshi marafiki zangu walio online lakini mwazoni nilikuwa nawaona je waungwana tatizo ni nini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mwenye kujua ni kwa nini simu yangu ya nokia 5800 wakati mwingine hujizimana kujiwasha pale ninapoamua kusikiliza muziki. Can this be a virus?
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Wakuu Msaada kwa anaefahamu OVI NOkiA SUITE NITAIPATA WAPI NAOMBA ANIWEKEE LINK NI DOWNLOAD Coz kila niki google siipati napata vitu vingine tu!! Pleaz nahitaji LINK
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How to make Vodafone K3571 or Tigo E153 modem to work in Ubuntu Hello readers! Alright, so today I will show you all on how to make the Vodacom k3571/Tigo e-153 or any Huawei and Tigo Tanzania...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una email database kubwa (kuanzia 2000 email addresses )naomba tuwasilane kwa PM. Asante sana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…